Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule.
Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania...
Wakuu
Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
Wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Manzese Mtaa wa Kilimani, Manispaa ya Ubungo Dar Es Salaam.
Kupata...
Hellow people!! Hope mko salama sana na mnaendelea vizuri huko mlipo!
Leo ni siku ya uchaguzi, na nimebahatika kushiriki!!
Kwa ufupi sana naomba nitoe my observations:
👉Hakukua na uchaguzi bali...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli.
Baada ya kupiga kura amezungumza na...
Kura hizi ni mtindo wetu wa demokrasia, utamaduni wetu wa kisiasa…wasivunje amani yetu wakapige kura kwa maelewano na masanduku yanavyosema ndio hivyo matokeo yatoke..” Rais wa Tanzania – Dkt...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa.
IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza...
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi
Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa...
Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Peter Serukamba ameshiriki zoezi la kupiga kura Kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa Leo Nov 27 2024.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
Wakuu,
Ndio upigaji unaandaliwa?
Baadhi ya mitaa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wamelalamikia kutokuonekana na kusomeka vyema kwa majina yao katika orodha ya wapiga kura huku wakisema...
Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center.
Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
Wakuu,
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa...
Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.