Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika. Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na...
3 Reactions
11 Replies
714 Views
Wakuu, Kwa sasa kinachotrend hapa Tanzania ni shtaka la Tundu Lissu kuwa ni mhaini. Kama mnavyokumbuka Tundu Lissu amekuwa aki-push sana agenda ya mabadiliko kupitia No Reforms No Election...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu. Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni...
12 Reactions
70 Replies
9K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea wanachama wapya zaidi ya 70 kutoka Chama cha Wananchi (CUF), wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kaskazini, Vedasto Ngombale. Wanachama hao walipokelewa...
1 Reactions
3 Replies
416 Views
GTs, Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku...
1 Reactions
4 Replies
509 Views
Weka maoni Yako. NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
6 Reactions
118 Replies
6K Views
Katika pitapita zangu nikasikia watu waliokuwa wamekaa kijiweni wakimsifia Jaji aliyekuwa anaitwa LUGAKINGIRA kuwa alikuwa akisimama kidete kwenye nafasi yake bila kufuata maagizo au kuegemea...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa...
13 Reactions
64 Replies
5K Views
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION. Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana...
13 Reactions
106 Replies
6K Views
Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini. Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
425 Views
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
TANGAZO KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi kinawatangazia Wanachama wake kwamba, mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani, kwa ajili...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Arusha kufanya kongamano la kumpongeza Rais Samia kutimiza miaka minne ya uongozi.
6 Reactions
71 Replies
3K Views
Huyu ni rais Bora sana Africa nzima ndio maana oktoba nitaenda kumpigia kura sababu vijana Sasa tunapesa nyingi sababu ya uongozi Bora wa mama anaetujali raia wake 2025 tunaenda na mama Samia...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
0 Reactions
5 Replies
621 Views
Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu...
4 Reactions
8 Replies
650 Views
== Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kungu Kadogosa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo mbioni kuanza ujenzi wa Reli ya umeme...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…