Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msatahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda, Hidary Summry, ametimiza ahadi yake kwa kuwapatia baiskeli 20 Makatibu wa Jumuiya na Makatibu wa Matawi katika manispaa hiyo. Kupata nyuzi za kimkoa...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho...
1 Reactions
3 Replies
615 Views
Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta =========== Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na...
2 Reactions
2 Replies
852 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea urais wa...
1 Reactions
12 Replies
671 Views
Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki...
25 Reactions
66 Replies
3K Views
Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili. Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii. Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa...
0 Reactions
4 Replies
432 Views
Wakuu, Aisee hii ni kali :BearLaugh: :KEKLaugh:, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu, Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Mohamed Msalu amesema kuwa nchi ya Tanzania ni ya vyama vingi hivyo linapokuja swala la...
1 Reactions
16 Replies
860 Views
Wakuu, Wasanii/wanamichezo na vijana wanazidi kuaibisha wakiongozwa na huyu kijana aliyepata nafasi ya kuhakikisha sekta ya sanaa, michezo na utamaduni inasimama vizuri na wasanii wananufaika na...
1 Reactions
5 Replies
564 Views
Wakuu Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema; "Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni...
1 Reactions
4 Replies
699 Views
Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Wakuu, Lissu asema kitendo cha kiongozi wa upinzani kukamatwa kwa nchi inayojiita ya kidemokrasia ni aibu, akaongeza kama wanafanya hivi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye uchaguzi mkuu...
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa...
0 Reactions
2 Replies
472 Views
Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru. Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi)...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila...
3 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo taifa, Abdul Nondo, amehoji nia na utayari wa Serikali katika kusaidia vijana wasio na ajira kwa kuwekeza zaidi kwenye mafunzo ya ufundi stadi...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Back
Top Bottom