Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Mwenza wa Urais 2025, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kufanya mkutano na wananchi wa...
Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
Vijana wa umoja wa UVCCM wilaya ya Bukoba Vijijini wamelalamikia kukwama kwa kampeini ya kutafuta kura mpya za Rais Samia inayoitwa Samia New Voters Campagn (SANEVO) iliyopangwa kufanyika wilayani...
Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa...
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection...
Baada ya kukoloniwa na kutumikishwa, tuligeuzwa mazwazwa wasiotaka kusikia neno mabadiliko au ukombozi. Huwa inaniwia vigumu kwa mtu mzima tena mwingine msomi kukubali kuitwa chawa, kondoo au...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025...
Kuna Wimbi la vijana Wanaenda JKT,baada ya kumaliza Elimu za Msingi na Sekondari,Wanakaa jeshini wakijitolea miaka miwili, wanatoka bila ujuzi wowote mwingine zaidi ya Kutumia singe kujilinda na...
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dk Msafiri Joseph Mbilu,amewataka waumimi na Watanzania kwa ujumla kujiepusha kuchukua rushwa kwa wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali...
Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo
Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!!
Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni...
Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga...
Hivi kati ya Bashiru Ally Katibu mkuu wa Ccm Mstaafu na Rais Magufuli nani anabidi kubeba lawama za kuua Demokrasia na leo tunaishi kwa mashaka.
Ni nani kati ya Magufuli au Bashiru aliyeleta...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Hamis Tale Tale ameonyesha dhamira yake kwa kukabidhi kiasi cha Tsh Milioni 65 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ofisi ya chama ya wilaya pamoja na...
Wakuu
Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi?
==
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham...
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC
2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM
3...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Kwa namna system yetu inavyojihusisha na mambo ya kipuuzi ikiwemo kutengeneza moles kwenye vyama vya Upinzani makini ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi kuendelea kuitawala Tanzania na kuwanyanyasa...