Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu ni mwanamke wa shoka. Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano. Nadhani anastahili...
0 Reactions
22 Replies
918 Views
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe...
1 Reactions
11 Replies
546 Views
!!!!!!! Tuache kuingizwa kwenye mtego na watu walio busy kuwaza jinsi ya kutengeneza uchochoro wa kupiga pesa kwa kuongeza zaidi dau la malipo kutoka kwa walipaji maana watu wa aina hii mbele ya...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Inashangaza kuona mgawanyiko wa makundi ndani ya chadema swali muhimu kwa maslahi ya nani?
1 Reactions
2 Replies
346 Views
Naamini Watanzani wengi wanataka mageuzi ila walikosa mtu sahii wa kuwasemea katika mda sahihi,Walipita Viongozi wengi kuanzia kina Mrema, Lipumba,Mbatia mpaka Mbowe,lakini wote waliwasi wanainchi...
3 Reactions
9 Replies
676 Views
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Ukisoma huo waraka sehemu ya tatu aya ya 2 inasema lengo la kupitisha "No reforms, no election" ilikuwa si kuzuia uchaguzi bali kuhamasisha tu. Huo ndiyo ulikuwa mpango wa kauli mbiu? Tunaposema...
4 Reactions
11 Replies
593 Views
Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani? Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi amesema Serikali imegharamia na kuisadia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kusaini mkataba na Mkandarasi ambaye ni kampuni ya China...
1 Reactions
4 Replies
476 Views
https://youtu.be/eUJUVzmpAIg Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna...
2 Reactions
6 Replies
567 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa...
0 Reactions
8 Replies
783 Views
Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Bado sijaelewa kisa chake hasa cha jambo hili kuibuka ghafla namna hii, Unaambiwa ziko hata kofia ambazo quality yake ni kama ya Mamtoni hivi. Zinavutia sana kiasi ambacho wadau wa vyama...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari...
1 Reactions
4 Replies
652 Views
Nilijizuia kulisema hili muda mrefu Ila niweke wazi maana naona inazidi kudhirika nilichokuwa naona kuhusu mh Lisu. Kiu yetu kubwa ilikuwa kwanza mabadiliko ndani ya chadema haswa nafasi ya juu...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…