Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali imepanga kupeleka shilingi bilioni 335.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar...
0 Reactions
10 Replies
641 Views
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
17 Replies
912 Views
Katika jamii yetu, kuna makundi mbalimbali ambayo yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, kuna wakati ambapo vyama vya siasa kama CCM na Chadema...
2 Reactions
8 Replies
492 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameonya vikali dhidi ya wale wanaotaka kununua nafasi za ubunge, akisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa maadili...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mheshimiwa Aesh Hilaly, ameonesha moyo wa upendo na kujali ustawi wa akina mama wajawazito kwa kuchangia mabeseni 1,000 kwa ajili ya wanawake wanaotarajia kujifungua...
2 Reactions
6 Replies
595 Views
UHURU NI MUHIMU LAKINI UHURU WENYE MIPAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kiumbe kinahitaji UHURU. Zaidi viumbe wenye utashi Uhuru kwao ni Moja ya mambo MUHIMU na ya lazima katika...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
3 Reactions
3 Replies
385 Views
Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali. Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvitoroka vyombo...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Pamoja na uchawa mwingi sana Raisi Samia kwasasa amelewa madaraka. Kwasababu hiyo hata weza kukataa fursa ya yeye kuongezewa mwaka mzima kwasababu ya kufanya marekebisho ya sheria ya No reform no...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Pichani Tundu Lissu akitoa elimu ya No Reform No Election. Hapa ni Namanyere, Jimbo la Nkasi Kaskazini Tunaomba Radhi kwa kuwaleteeni Taarifa kidogo za Mikutano ya No Reform No Election, hii...
24 Reactions
85 Replies
4K Views
Sote tunajua ukweli kwamba mtu aliyefocused,determined, anayeshindana na yeye mwenyewe ndio atakuwa bora SIKUZOTE kuliko anayeshindana na mwingine. Utaratibu wa kushindanisha matokeo ya mitihani...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
0 Reactions
3 Replies
470 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii...
2 Reactions
8 Replies
788 Views
Na:Abdull Najad Faiq Zote Tanzania bara na Zanzibar linapokuja jambo ambalo lipo ndani ya orodha ya mambo ya Muungano, huwakilishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndio Serikali...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Zaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India. Vijana hao...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika watu makini katika wakati huu ni watu waliotengeneza hii slogan ya No Reform, No Election,.mmeweza. Wenzenu wanasema kazi na utu, wakati hizo kazi hazionekani Wala huo utu haonekani. No...
2 Reactions
12 Replies
942 Views
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Kupata matukio na taarifa zote...
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…