Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari: Stand ya daladala Bunju imehamishiwa barabara kuu ya Bagamoyo Manispaa imeshindwa kujenga standi hata ya changarawe. Matokea yake...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule...
2 Reactions
10 Replies
750 Views
Wakuu, Kama picha zinavyojionesha Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara yake nchini China. Makala alikutana na Mkurugenzi Mkuu...
1 Reactions
9 Replies
718 Views
Wanabodi heshima kwenu. Mh waziri Mkuu Mjomba, unabakiza miezi michache kabla kumaliza karibia miaka 10 ya uwaziri wako mkuu. Leo hii uaweza kutembea kifua mbele kwa lipi ulilowafanyia watu wa...
15 Reactions
152 Replies
5K Views
Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme...
15 Reactions
113 Replies
4K Views
Kwa structure yake ya uongozi wake wa kitaifa na jumuiya zake ulivyo, ni wazi succession plan ndani ya CCM ni very active practical. Na ni vizuri ikafahamika kwamba, mambo haya ya succession...
2 Reactions
71 Replies
2K Views
Mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi ni hatua muhimu katika mchakato wa Demokrasia nchini Tanzania. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inawajibika kuhakikisha kuwa majimbo yanagawanywa kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli Sina chuki na Mwenyekiti wa baraza la Aridhi wilaya ya same na Sina chuki na yule Binti hakimu Ila nmesikitihwa na kitendo cha kuwa wanaairisha nashauri zaidi ya mara Tano paspo kuwa...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa...
2 Reactions
8 Replies
879 Views
Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket...
5 Reactions
22 Replies
832 Views
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini katika Vigezo vya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) Tanzania katika...
1 Reactions
1 Replies
344 Views
Justin Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana Kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel...
1 Reactions
7 Replies
751 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini...
4 Reactions
6 Replies
662 Views
Wakuu, 1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
TAARIFA HII IMEKANUSHWA NA TEF. Zaidi soma Jukwaa la Wahariri Tanzania lakanusha kutoa tamko dhidi ya CHADEMA ---- Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia...
7 Reactions
78 Replies
4K Views
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
1 Reactions
0 Replies
339 Views
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha...
24 Reactions
133 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…