Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba.
Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT...
Kwasababu bado dhana na hali ya kususia imetanda miongoni mwa vyama vya siasa, ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa ambavyo vimeamua kujitenga na michakato ya kidemokrasi na kujikita kutafuta pesa...
Akiwa anazungumza leo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Miaka 50 ya Veta iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025...
Wakuu,
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na...
Jiunge nasi sasa katika mjadala wa Tathmini ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Changamoto na Maboresho, ambapo unaweza kushiriki uzoefu wako, kutoa maoni, na kupendekeza maboresho...
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇
My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Kila Mtu anatakiwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama...
Nchi yetu ya TANZANIA, watanzania, na serikali kupitia wizara ya afya, tumejipanga vipi ama tuna mipango ipi na gepu lililopo ama litarajiwalo kutokea la kukosa ama kutopokea tena misaada kutoka...
Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete
1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka...
Chama cha ACT Wazalendo tunaungana na mamilioni ya Watanzania nchini kuitaka serikali kumaliza tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama nchini. Leo Machi 22, 2025, tunapoadhimisha Siku ya Maji...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa...
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni...
KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI
Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya...
Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)...
Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli.
Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la...
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama...