Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya...
Salaam
Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama.
Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani...
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma...
Wakuu,
Ukienda kujiendikisha unatumia muda mrefu unnecessary, wakati zoezi linaweza kwenda fasta fasta. Mchakato unakwama sana unapotoa taarifa zako, unakuta mtu yuko slowwww, unatumia saa nzima...
Vijana tunapiga kelele mishipa inatusimama kuhusu kauli ya Waziri Mkuu kwa waliomaliza degree kwenda VETA. Ni dharau ndio, Anko Maja amezingua? Ndio, pakubwa sana. Sasa tunaingia kwenye propaganda...
Kupiga kura ni haki ya kikatiba hakuna chama kinachoweza mzuia mtu asipige kura uchaguzi ukiitishwa
Vitisho vya kusema kuna mtu au kikundi au chama kitazuia watu wanaotaka kupiga kura wasipige...
Mkutano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Msajili wa Vyama vya Siasa unatarajiwa kuwa na matokeo muhimu katika mchakato wa kisiasa nchini Tanzania.
Msajili wa Vyama vya Siasa...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo.
Soma...
Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Akiongea baada ya ibada ya Jumapili...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) leo Machi 18, 2025, imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa...
Kila masika na mbu wake, lakini mbu hawa wa kukua sana shughuli za Bandarini, Serikali ijipaange kutatua.
Mizigo na shehena za bidhaa zinazoteremshwa Bandarini zimekuwa nyingi mno.
Miundombinu ya...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC...
Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya...
Wakuu,
Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo.
Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa...
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gilead Teri amesema mwaka 2024 ulikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa Kwa TIC kwani ilisajili miradi Mingi ipatayo 901 yenye thamani ya Shilingi...
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye...