Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida. Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike. Lakini...
76 Reactions
410 Replies
65K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha...
0 Reactions
3 Replies
441 Views
Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Wakuu, Hivi wabunge wa CCM wanaposema Rais "ametoa" fedha wanamaanisha? Kwamba zimetoka mfukoni kwake na sio kodi za wananchi? Au yeye ndo anaidhinisha kutolewa kwa hizo fedha? Na kama Rais ndo...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Fadhili Maganya, amewataka baadhi ya watia nia wa nafasi za uongozi kupitia chama hicho kuacha kuwadanganya wananchi kwa kudai wamepewa maelekezo...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Wakuu, Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa! Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania BaraStephen Wasira, amewahakikishia wananchi wa mji wa Tunduma kuwa Serikali itawatatulia kero ya maji inayowasumbua kwa muda mrefu. Amesema...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma. Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tangu Serikali ya awamu ya sita ilipoingia madarakani Kituo cha uwekezaji Tanzania kimesajili miradi zaidi ya 1,275 ambayo imezalisha zaidi ya ajira 271,559 kwa watanzania wa maeneo mbalimbali...
2 Reactions
3 Replies
521 Views
Waandikishaji wasaidizi na waendesha BVR katika Jimbo la Kigamboni wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na wadau wote wa uchaguzi ili kuhakikisha uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unafanyika...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu. Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za...
8 Reactions
88 Replies
3K Views
According to certain sources within government officials, the Tanzanian government is on the verge of unveiling a new region set to emerge from the Morogoro region. While the name of this...
12 Reactions
70 Replies
4K Views
Mabalozi wa Zamani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Roma, Italia: 1972 - 2024 Former Ambassadors The United Republic of Tanzania Rome Italy: 1972 - 2024
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…