Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Februari 25, 2025 ,amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni huku akisisitiza uwajibikaji kwa...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini. The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza. Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa...
13 Reactions
97 Replies
5K Views
Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Wakuu, Kama hivi haya ndo maandalizi ya Uchaguzi au nini? ====================================================== Serikali imetoa Sh209 milioni kwa vikundi 18 vya vijana ili kusaidia...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika...
0 Reactions
5 Replies
525 Views
Wakuu, Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂 Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Wakuu, Kwahiyo Mkutano Mkuu upo kama jiwe, limeshakauka haliwezi kufinywangwa? Wenzetu kwenye Mkutano Mkuu ni malaika hawawezi kukosea? Ikisemwa ndio imetoka hiyo?😂😂. Mpaka Makalla anatetemeka...
1 Reactions
3 Replies
554 Views
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
29 Reactions
296 Replies
11K Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo...
0 Reactions
5 Replies
556 Views
Ni Video ikimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo akikabidhiwa Fimbo ya ushindi pamoja na Kuku aina ya Jogoo na wazee maarufu Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kupata matukio na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu 1. Kama una amini chaguzi za...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm...
0 Reactions
3 Replies
527 Views
Wakuu, Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa...
0 Reactions
3 Replies
415 Views
Mbunge wa Rombo Mkoani Kilimanjaro ambae pia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara yake yakufanya Mikutano ya hadhara ili kusikiliza kero za wananchi...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Nimeona wengi mnadhani si Sawa DOLA kuingilia Kati na kuzuia No Reforms no Election Ndio nawauliza mmeisoma vizuri Sheria ya vyama Vingi na kujiridhisha CCM siyo sehemu ya Dola? Nimekaa pale 🐼😄...
1 Reactions
15 Replies
549 Views
Back
Top Bottom