Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake...
"Tume pia ilipokea ushahidi kutoka baadhi ya mashahidi waliodai kwamba polisi ilitumia nguvu katika kudhibiti ghasia kama ifuatavyo:
Tarehe 30 Oktoba 2020, mkazi wa Mombo, Songwe, anasema kwamba...
Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila...
1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC.
2. Wakuu wa Majeshi ya...
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza...
Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio.
kama vile...
Ni vema jambo hili likaeleweka vizuri na kila mmoja wetu, kwamba kinachosubiriwa n.a. Wananchi siyo ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Chande, Hii Tume ilishakataliwa kote Tanzania, Kinachosubiriwa ni...
Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano...
Wakuu
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
Utabiri wangu ni huu;
1) Hakukuwa na Maandamano bali matendo ya uvunjifu wa amani
2) Jeshi la polisi katika kujihami lilitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waandamanaji
3) Jeshi la polisi...
Jaji Chande anasema katika ghasia za Oktoba 29, sekta ya fedha pia ilipata hasara ambapo kiasi cha tsh. milioni 627.7 ziliporwa na kuibiwa katika ATM za CRDB, NMB na NBC
Jaji Chande amesema kuwa tume ilipokea madai kutoka kwa waathirika na watu wengine kuhusu watu kupigwa risasi, kujeruhiwa au kuuawa katika maeneo ambayo hayakuwa na ghasia na vurugu, na madai ya...
Jaji Chande amesema kuwa imebainika makundi yaliyoshawishiwa ndiyo wahusika zaidi katika ghasia wakati wahusika wakuu na waratibu wa ghasia hawakuwepo kwenye maeneo ya matukio hali iliyochangia...
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman...
Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa...
Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza...
Jaji Chande anasema kuwa kuna vyama vya siasa vichache, wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa NGo wachache walioalikwa kufika mbele ya tume lakini hawakufa hivyo
Katika kipindi hiki nyeti cha kihistoria, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa kwenye Ripoti ya Jaji Chande.
Hii si nyaraka ya kisiasa kwa ajili ya wanasiasa pekee, bali ni hati muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.