Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati, Devotha Minja amesema ni sahihi kuweka utaratibu wa ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu. Devotha aliyewahi kuwa...
1 Reactions
2 Replies
563 Views
Wakuu wa wilaya za mkoa wa Tabora wameiomba serikali kuwajengea nyumba za kuishi pamoja na ofisi zao, wakieleza kuwa kwa sasa wanatumia majengo chakavu na ya zamani. Baadhi ya majengo hayo hujaa...
0 Reactions
5 Replies
746 Views
Hujawahi kuwa na Mamlaka hayo, Huna na wala hutokuja kuwa nayo. Wewe endelea na porojo zinazohusu chama chako tu. Tumeona tukukumbushe hili mapema kabla hujaendelea kupotosha zaidi. No Reform...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, CHADEMA msijichanganye kumuweka mtu mwingine kugombea nafasi ya Urais CHADEMA zaidi ya Godbless Lema. Tundu Lissu ni maarufu ndio lakini linapokuja suala la kuwa Rais, Godbless Lema ni...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....) Pole sana kaka Gambo kumbe...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, maswali mengi yanajitokeza kuhusu mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir. Katika kipindi hiki, ni muhimu kujua kama Hafidh atajitokeza hadharani...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa BAKWATA Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera (Masjid Zahra)...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi matumizi ya simu nchini Tanzania yamefikia karibu Wananchi Milioni 30 hadi 40. Kwenye hao wanaotumia simu. Matumizi ya simu janja yaaani smartphones yanaweza...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Singida, ikiongozwa na Mkurugenzi wake, Joanfaith Kataraia, imefanya bonanza maalum la kusherehekea Siku ya Wanawake. Katika bonanza hilo, yamefanyika mashindano ya...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya...
1 Reactions
5 Replies
594 Views
Chadema polepole wameanza kutumia Media vizuri zaidi. Tofauti na CCM ambayo viongozi wao wamejiweka kama vigogo wenzao Chadema wamejiweka kama watu wa kawaida. Huwezi kumsema mtu ni wa fujo wakati...
6 Reactions
7 Replies
811 Views
Wakuu, Naona suala la utekaji limekuwa ni suala gumu mno imefikia hatua hadi CCM wameanza kupiga kelele. CCM tulieni. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Haya makelele Chadema walianza mapema...
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo...
0 Reactions
1 Replies
510 Views
Wakuu, Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu? Ukifungua website ya bunge...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Wakuu, Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa. Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu...
0 Reactions
10 Replies
717 Views
Back
Top Bottom