Pre GE2025 Tetesi: Paul Christian Makonda ni chaguo lao kwenye nafasi ya Waziri Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rozela

JF-Expert Member
Jan 5, 2024
902
2,420
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)

Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.

Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
 
Mamo a umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)

Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.

Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, siunaaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Hizi ni porojo tu na hisia ambazo hazina ukweli wowote ule. Makonda will never be a prime minister of this country.
 
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)

Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.

Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Sasa machali ndo nani
 
Tunaweza vipi kuwa na Waziri Mkuu mwenye kashfa ya kununua cheti/vyeti vya elimu yake..?

Jina lake halisi huyo mtu wako anaitwa ALBERT BASHITE MALYANGILI toka kijijini kwetu KOLOMIJE, MISUNGWI - MWANZA. Hilo jina la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake bali ni kwa sababu tu anatumia cheti cha mtu mwingine aliyeenda shule yeye (ALBERT BASHITE MALYANGILI) akakinunua cheti hicho na hivyo automatic akajulikana kwa jina la "PAUL CHRISTIAN MAKONDA..."

Mtu halisi mwenye jina hilo yuko Tabora, mtangazaji wa Redio fulani pale manispaa. Huyu ALBERT BASHITE MALYANGILI yeye ni kopo tu, hakwenda shule kusoma. Hapo kavaa personality ya mtu mwingine kabisa, si yeye....

Kwa hiyo ALBERT BASHITE MALYANGILI ana kesi ya jinai ya "impersonification" - kutumia jina la mtu mwingine kujipatia faida...

Hatuwezi kuwa na viongozi wahalifu wa namna hii...

Hatupaswi kuendelea kuliingiza taifa na watu wetu kwenye laana ya wizi wa kielimu na watu wa namna hii kupewa nafasi kubwa za uongozi...

HAPANA..!

Ajisafishe kwanza kwenye kashfa hiyo ndipo tunapoweza kum - trust kwenye nafasi kuu za uongozi wa taifa hili...
 
Hicho cheti alichoghushi ni cha darasa la ngapi, je mhusika ana elimu gani kwa sasa?

Huyo mtangazaji wa Tbr alichukua hatua gani baada ya kumgundua mwizi wa cheti chake?
 
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)

Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.

Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Labda atakuwa waziri mkuu wa ukoo wenu. Ila siyo kwenye hii nchi. Kwa sababu hana uwezo wa kukubalika au kushindana na wahafidhina ndani ya chama.
 
Wewe nimjinga kwasabubu Moja !!! Mbona Kutumia Jina lamtu mwingine inaruhusiwa tu!! Mfano anataka kuludia mtihani Kama anataka kuludia mtihani darasa la Saba naongelea Kwa maika ya zamani kidogo ulikuwa unaenda kwenyeshule nyingine unanunua Jina lamtu mfano darasa la SITA theni mwaka unaofata unapiga pepa Kwa kwajina lisilolako !!! Ukibahatika kufaulu Kwenda sekondari ukifika form2 Kuna option yakwenda kulikana mahakamani hilojina then unaendelea Kutumia majina Yako !!! Huo ulikuwa niutaratibu wakawaida kabisa :: ila sijui Kama kwasasa Bado upo!!!
 
😂😂😂toka ndoto...unaota ujinga uchafu... MAKONDA hawezi kuwa pm ever never ....hata mkewe awe Rais.
 
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)

Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.

Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Marangi ndio yule mwenyeji wa singida aliyekulia Mvomero( Morogoro)?
 
Back
Top Bottom