Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA. Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo...
1 Reactions
20 Replies
931 Views
Wakuu, BAWACHA wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Mlimani City Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa ni Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana...
14 Reactions
89 Replies
5K Views
Habari Wana JF kama kichwa kinavyosema : Kutokana na sera mbalimbali za CDM kugonga mwamba jamaa bado hawajakata tamaa. Je? Nini kipo nyuma ya pazia. Muunganiko wa chama Cha walimu wasio na...
1 Reactions
2 Replies
501 Views
Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa...
1 Reactions
4 Replies
867 Views
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kampeni ya Mama asemewe imeadhimisha sikukuu ya Wanawake mkoani Mwanza kwa kuandaa Kongamano kubwa la BINTI WA LEO, SAMIA WA KESHO ambapo lilikusanya takribani Mabinti 2000 kutoka Vyuo mbalimbali...
1 Reactions
4 Replies
541 Views
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na...
1 Reactions
8 Replies
810 Views
Wakuu, Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia. Mnyika kwenye maadhimisho ya...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
“Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
MIAKA 5 IMEPITA LAKINI Dr. BASHIRU BADO HANA MPINZANI! Miaka 5 iliyopita, siku kama ya leo, Dr. Bashiru Ally, akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alisema maneno mazito. Kwa maoni yangu, hayajajibiwa mpaka...
17 Reactions
71 Replies
4K Views
Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa...
0 Reactions
3 Replies
498 Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la...
0 Reactions
3 Replies
472 Views
Wakuu Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu, Huyu Katibu Mwenezi wa BAWACHA bila shaka alikuwa ni Team Mbowe, Yaani kweye speech nzima kamtaja Mbowe tu, Lissu kamtaja mara moja tu tena huko mwishoni. Lissu na kamati kuu CHADEMA...
0 Reactions
9 Replies
718 Views
Wakuu, Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia. Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Wakuu, Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa. Hii ni rushwa au zawadi? ===================================================== Meya Mstaafu wa...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira. Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO)...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom