Rais Samia amesema;
"Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki...
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya...
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha...
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi...
Na.M M Mwanakijiji
Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana.
Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea...
Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani...
Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29.
Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama...
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni...
Rais Samia Suluhu Hassan ametumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba, unyenyekevu na kuomba msamaha kwa Mungu kufuatia Matukio ya Oktoba 29 yaliyoikumba nchi.
Akinukuu Biblia katika...
“...vilevile inawezekana kulikuwa na majeruhi ambao waliamua kutibiwa nje ya mfumo rasmi, na wakafariki bila taarifa zao kufikishwa panapostahili.
Tume pia ilipokea ushahidi na madai kuhusu watu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
Jaji Chande anasema tume ilipata taarifa ya mauaji ya watu 13 katika kibanda cha kuonesha video ambapo anasema kuna shahidi alisema wanaodhaniwa kuwa askari walivamia kibanda hicho na kuwapiga...
Namuona Nchimbi anaenda kuchekea bafuni!
Akiwa kama mnufaika mkubwa wa Ripoti ya Chande hasa pale Jaji kuonekana chawa kwa kuto kusema ni nani alitoa amri ya mauaji.
Katika kipindi cha miaka mitatu, Jaji Chande amesema jumla ya raia 758 waliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutekwa au kujiteka, ambapo 113 walipatikana huku 445 wakiendelea kutafutwa hadi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
Je tume ya Raisi inaweza kusema ukweli kwamba tatizo kubwa ni dharau za Raisi Samia!. Tatizo na hizi tume ni za kichawa hawawezi kusema ukweli ndiyo maana ni lazima tume iwe ya nje kwa...
Wakuu,
Jaji Chande ameshauri serikali kuchukua hatua za kuimarisha huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa kuandaa mkakati maalum wa kitaifa, kutenga rasilimali zinazohitajika ili...
Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.