Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM taifa Bw. Mohammed Ali Kawaida amesema wapinzani hawajajipanga na hawana ushawishi wa kusimama na wagombea wateule wa urais CCM, Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Bw. Stephen Wasira amewasili Mkoa wa Mbeya kwa ziara ya siku nne kuanzia Machi 17-20, huku akitoa maagizo mazito kwa halmashauri zote...
0 Reactions
10 Replies
909 Views
Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Waziri wa Nchi, OFISI YA RAIS TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili...
0 Reactions
2 Replies
457 Views
Akizungumza na Wasafi Radio kupitia kipindi cha goodmorning mhariri wa gazeti la Radar aliyejitambulisha kwa jina la Mjema ameeleza kuwa waziri anayejifanya mzalendo kwa kuvaa hadi mavazi yenye...
4 Reactions
97 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Wilayani Ubungo, Dar es Salaam, Issa Jumanne Mtemvu amejitokeza Katika Kituo cha Kibwegere Shule, Mtaa wa Kibwegere Kata ya Kibamba mkoani Dar es Salaam kŵa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Wakuu, Nimeangalia tangazo la Tone Tone kwakweli nimebubujikwa machozi ya huzuni! Mmefikaje huku? Mlikuwa mnaenda vizuri lakini mnaanza kuharibu! Sawa mlitaka kuja na idea tofauti, iwe catchy...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Nimepta kwenye nyuzi nyingi za wakati huu wa kuelekea uchaguzi na zile za zoezi la kujiandikisha unaona kabis namna Wanasiasa walivyo na uchu na madaraka, wanaonesha jinsi gani kuna fursa huko...
1 Reactions
2 Replies
531 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya...
0 Reactions
8 Replies
578 Views
Wakuu, Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya. Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba wikiendi hii alizindua kampeni mpya aliyoiita "Wiki Ya Mama" kwa ajili ya kutathmini na kuthamini juhudi za Rais Samia Mwenyekiti huyo...
1 Reactions
19 Replies
873 Views
Kalamu ya Samia inaongea waendelea kuyasema na kuyamulika yale yote aliyoyafanya Rais Samia kuanzia mjini mpaka vijijin kuwa kalam ya mama Samia imepita kila eneo. Leo March 17,2025 viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
533 Views
Vijana zaidi ya 30 wa kikundi cha Urithi Wetu PTP2 wameanza safari ya kipekee kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kwa lengo la kuhamasisha upandaji miti na kudumisha urithi wa kipekee wa...
0 Reactions
22 Replies
909 Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea...
1 Reactions
1 Replies
362 Views
Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wa Dini Wameomba na kumsihi Rais Samia awapatie nafasi ya kuwa na uwakilishi Bungeni ili waweze kushiriki vyema katika kutoa michango na mawazo katika utungaji wa...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya...
4 Reactions
82 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom