Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaweza kutofautiana na Mtu...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
11 Reactions
68 Replies
4K Views
Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT-Wazalendo, Salum Bimani amezungumzia mambo mbalimbali mbele ya Wanahabari leo Julai 15, 2025, ikiwemo kuhusu uchaguzi wa Kura za Maoni kuwapata Wagombea Ubunge na...
1 Reactions
4 Replies
715 Views
Ndugu wananchi na wanachama wa Jimbo la Kigoma Mjini leo tarehe 15/Julai /2025 ambayo ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya chama chetu nimechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hellow Tanzania. Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu...
12 Reactions
136 Replies
4K Views
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka...
41 Reactions
307 Replies
9K Views
Je, kwa nini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya ahadi za kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu, na ni nani anayefaidika na hali hii ya kutokuwepo kwa mabadiliko ya kikatiba?
1 Reactions
0 Replies
460 Views
Tunakumbushana tu iliitwa CCM ya Magufuli au Magufuli Ruling Party kama alivyoiita RC wa Mbeya by then Albert Chalamila Polepole pamoja na mapungufu yake lakini ana vitu viwili; Mosi karama ya...
17 Reactions
81 Replies
3K Views
Salaam! Tukiwa wadogo, tulipenda sana kuwinda mapaka shume na kuyashambulia kwa mawe, sababu ya kuyawinda, yalizidi wizi wamboga majumbani na uharibifu uliokithiri. Yaani sie tulipoona mapaka tu...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wakuu Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM. Mtoto wa nyoka ni...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Udini ndio uhaini mkubwa duniani kuliko hata maneno maneno ya Lissu, na mambo haya hufanywa na watu na au viongozi poyoyo wasio na uwezo wowote wa kielimu ya kimazingira, ukifuatilia vizuri, hata...
16 Reactions
144 Replies
5K Views
Mimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi Baada ya...
36 Reactions
138 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kama una taarifa ya mgombea aliyeliwa kichwa katika mchujo weka jina!. Kumeanza kuchemka
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Tunakumbushana tu kwamba Lema alikuwa Waziri kivuli wa mambo ya ndani aliyeteuliwa na Mbowe mwenyewe Sasa Mh Mbowe kwanini ulimteua Dhaifu kwenye Wizara iliyoongozwa na Nguli wa Siasa za...
0 Reactions
6 Replies
458 Views
Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii... ~Wengine...
1 Reactions
7 Replies
890 Views
Ndugu zangu tumekuwa na chaguzi za kijinga toka tumeanza mfumo wa vyama vingi na uchaguzi wa hv karibuni ndio umetoa picha halisi ya nn kinaendelea kwenye siasa za nchi hii,uchaguzi wa mwaka 2019...
0 Reactions
24 Replies
890 Views
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi...
2 Reactions
24 Replies
802 Views
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai hao Chadema na Chaumma wote wataunga mkono Juhudi za Rais Samia kwenye Awamu yake ya pili Siasa ni aina ya mazingaombwe ambapo kila kitu kinawezekana Ahsanteni...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Tupo Salama! Kwa wagonjwa na wanaopitia changamoto ngumu, Mungu awapatie ufumbuzi. Unajua maji yakishamwagika yamemwagika. Yatazoleka lakini yakiwa na mchanga. Na hayatajaa kwa ujazo uleule...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…