Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HANS Aingaya Macha ni mfanyabiashara tapeli sana na utapeli wake aliuanza kwa muda mrefu toka akiwa anafanya biashara zake Manzese, ambapo amedhulumu mali za mayatima na watu. Ukibahatika kufika...
0 Reactions
50 Replies
19K Views
Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu. Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita...
5 Reactions
10 Replies
448 Views
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira...
1 Reactions
235 Replies
10K Views
Kama kweli wewe ni kidume na unajiamini na wewe ni KOMANDOO KUTOKA CUBA NA KOMANDOO LILILOSOMA AZABOY Usiogope taja location ya mkutano wako na wanahabari Ili tukusanyike sisi wote tukusikilize...
3 Reactions
8 Replies
656 Views
Watazame vijana waliolelewa na CCM na namna wanavyoenenda kisiasa utaona tofauti kubwa sana hii ikimaanisha program ya ulezi ya CCM imefanikiwa mno. Nawatafuta vijana waliolelewa kidini pia...
1 Reactions
4 Replies
238 Views
And this is the kind of leadership the country deserve and other nations wish to have. Mwenyekiti wa CCM Taifa, na Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, ameidhibiti...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge...
0 Reactions
6 Replies
722 Views
Ukisikia ubinadamu KAZI ndo huu aise MWENYEZI MUNGU ndie ajuae maana yeye ndio aliyetuumba Walimpiga risasi afe Mungu amemponya Amekuwa hai Sasa wamemweka GEREZANI ukonga Tena death room na wale...
2 Reactions
4 Replies
319 Views
Nasikitika yule Afande ameukumiwa kifungo Cha maisha kule ntwara kwa kosa la kumuua mfanyabiashara. Ni Afande Alie mtishia Nape Nauye bastora mara TU alipo waita wanahabari baada ya kutumbuliwa...
0 Reactions
19 Replies
931 Views
Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa. Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri...
1 Reactions
1 Replies
297 Views
Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa...
4 Reactions
13 Replies
532 Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Tusipojifunza kwa Mrisho ambaye ni kioo cha Jamii hatutajifunza tena Kama Mpoto analia mwenzi wake kutwaliwa Je angeliaje kama angetwaliwa na kuuawa kwa wakati mmoja?! Niishie hapo 🐼
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Nimemfahamu Benjamin Sitta kitambo tu akiwa Diwani wa Msasani na Leo ndio nimemkuta kawa DC wa Iringa Nakumbuka baba yake Mzee Sitta aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa Masikini Lucas...
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini. Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za...
0 Reactions
6 Replies
356 Views
Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake. This is a professional misconduct na lazima ikemewe. Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye...
3 Reactions
17 Replies
907 Views
Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu Wamefikia hatua hata ya kumteua...
5 Reactions
44 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…