Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la...
2 Reactions
17 Replies
960 Views
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kukusanya kura za petition milioni 15 ni hatua muhimu kwa Chadema. Katika muktadha wa sera yao ya "No Reform, No Election," hatua hii ina faida nyingi ambazo...
2 Reactions
12 Replies
935 Views
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Viongozi Wenye Maono Duniani kote huwa hawaridhiki kwa kidogo wanachopata. Always hupambana kuhakikisha Ndoto zao zinatimia bila kujali gharama wanazolipa. Hii ni njia ya mafanikio waliyopita...
3 Reactions
11 Replies
348 Views
Jambo lolote ambalo lipo kinyume na katiba ya JMT ni void abnitio Mgombea urais wa Tanzania anatakiwa kuteuliwa na chama chake mara baada ya bunge kuvunjwa. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 38...
4 Reactions
12 Replies
569 Views
CCM ITAKUWEPO MIAKA MINGI IJAYO TAMAA ZA MUDA MFUPI ZISIHARIBU TASWIRA YA CCM kuna hatari CCM ikakosa Heshima na nguvu iliyonayo kwa tamaa za muda mfupi za viongozi waliopewa dhamana wakashindwa...
0 Reactions
8 Replies
429 Views
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli. Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika...
0 Reactions
2 Replies
482 Views
Hakika astahili tuzo Freeman Mbowe astahili tuzo ya Uongozi bora ulioutukuka, amesimamia vema upinzani kwa njia za amani huku akidumisha umoja wa kitaifa
0 Reactions
7 Replies
480 Views
Mfano Leo KKKT Kisukuru kuna Ibada ya kumstaafisha Mchungaji Mtigile inayoongozwa na Askofu Dr Malasusa Mchungaji anastaafu kabisa na kurudishwa uraiani au anakwenda Vatican kama kanisa Moja...
0 Reactions
32 Replies
1K Views
Ktk somo la itikadi (ideology). Ideology imetokana na neno idea. Na hakuna jambo lolote dunia ambalo chanzo si idea. Je kuna itikadi au ktk itikadi mfano wa chama au Serikali ambao ni...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Nimeona akizikwaa kiislam. Nikasema kumbe kachero wetu alikuwa sheikh. Jina lilinichanganya sana. Naanza kuamini wazee wetu zamani walibadili majina ili wapate fursa ya kwenda shule, wengine...
2 Reactions
1 Replies
414 Views
Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu. Je! Hii ni nguvu ya...
0 Reactions
108 Replies
10K Views
Mbali na kampeni za uchaguzi zinazoelekea ukingoni kutoa mielekeo ya nani anafaa zaidi kukabidhiwa uongozi wa nchi.Ufuatao ni uelewa wangu kuhusiana na wagombea watatu wa nafasi hizo.Hao ni...
0 Reactions
111 Replies
11K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa, akiwa na msafara wake wanasaidia kusukuma gari lililokwama kwenye matope – tukio lililojiri wakati wa mojawapo ya safari zake nyingi mijini na...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Maana muda mwingi tangu kutangazwa kwa mkutano mkuu wa leo, wapiga ramli na wahuni wa kisiasa wenye chuki binafsi dhidi ya CCM, walikua wakifanya mikesha na ibada za kishirikina, eti ili mkutano...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebius Kyando, ametoa wito kwa Watanzania kurejea katika msingi wa kuthamini utu wa binadamu kama nguzo muhimu ya ustawi wa jamii na taifa kwa...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fatma Mwassa anasema “Mmeula wa Chuya” hamuoni wa kumuweza✍🏼
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…