Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa? Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu. Hii...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura. Haya yote yatafanyika...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Machawa wanakuambia eti Samia anakubalika kwa asilimia 85 ya Watz!! Sasa kama anakubalika kwanini anawaogopa hadi wajumbe? Sasa kwanini anazuia kura za kumchagua humo kikaoni?? Sasa kama huko...
3 Reactions
5 Replies
398 Views
Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Nadhani hakuna haja ya kupaniki mnajiumiza bure , huwezi kuzuia jua kwa mkono. Hongera sana tume kwa kutupa ratiba. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
2 Reactions
13 Replies
623 Views
Picha utafikiri za miaka ya 1914 kwenye Vita kuu ya dunia Picha utafikiri wanamlika samaki kwenye maji? CCM wanashindwa kabisa kuweka technology nzuri Hizi aibu kwa nchi mpaka lini ? Hawajui...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila...
2 Reactions
2 Replies
268 Views
Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya...
4 Reactions
12 Replies
710 Views
Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
19 Reactions
133 Replies
10K Views
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe...
1 Reactions
94 Replies
2K Views
Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2...
2 Reactions
11 Replies
494 Views
Rais Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani mwaka 2021 kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli. Katika kipindi chake cha mwanzo, Rais Samia alijaribu kuonesha mwelekeo mpya wa kisiasa ambao...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. October tutakuchagua kwenye sanduku la KURA kwasabu umetumalizia shida zetu, tunaishi kwa amani, si mtumishi, si mkulima, si mfanyabiashara, si mfugaji, si...
3 Reactions
62 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo Jumamosi, July 23, 2016 ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi(CCM) kumthibitisha Rais John Magufuli ili awe mwenyekiti mpya wa chama cha mapinduzi kumpokea kijiti...
14 Reactions
1K Replies
138K Views
Tanzania ya Samia imeendelea Kuandika rekodi ambazo haijawahi fikiwa hapo kabla ambapo safari hii ni uwekezaji wa kutoka Nje yaani FDI. Kwa mujibu wa ripoti kutoka shirika la Kimataifa...
1 Reactions
12 Replies
471 Views
https://www.youtube.com/live/G7yv_AM6JAA?si=n0iy7ZZrOM3x13x- Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania: Tume imekamilisha uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa awamu mbili, awamu ya...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote. Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…