Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine...
Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Huyu ni mgombea haramu kwa...
Kusema kwamba “ukristo unashambuliwa” au “Kanisa linalengwa” ni upotoshaji wa makusudi ambao sitaukalia kimya. Kusema waumini Milioni 3 na zaidi ya Makanisa 2,112 yamefungiwa nchi nzima sio kweli...
Husika na mada tajwa hapo juu:
Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema
"Ee Mungu nisaidie"
Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Hayo makundi yote hapo juu.
Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja...
Naona Chaumma na baba yake wa Kufikia Familia zao Zinakulana Ndani kwa Ndani kama familia za Waarabu
Kesho ndio 28 August,2025
Nawatakia Dominica njema 🙏
CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA.
Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025...
Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta...
Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka...
Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa?
Wanasiasa...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa...
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameibuka hadharani na kutoa lawama nzito dhidi ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, akidai kuwa ilihusika moja kwa moja katika...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la...
Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako?
Ninaamini Rais Samia...
Hili ndilo swali ambalo hata wanaccm wenyewe wanajiuliza, Yaani hata wanaccm wenyewe hawajui kinachoenda kurekebishwa!
Ikiwa wenye chama hawajui kinachoenda kurekebishwa ina maana mwenye chama...
WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa...
WARAKA WA MOYO KWA MAMA YETU; RAIS DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN
(SEHEMU YA KWANZA)
Na: Alex Msama Mwita 🇹🇿
Julai 26, 2025
UTANGULIZI
Mama. Nakuita tena, mama. Leo nikiwa nyumbani kwetu Tarime...
Ninawaza mwenyewe tu. Ninatafakari peke yangu.
Kwamba huu ni ushauri wa nani? Na alitarajia matokeo gani? Kwamba watanzania wote WATAKAA kimya kwa woga?? Ni kama naona dalili ya wanaotishwa...