Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi hiyo na nafasi nyingine za utumishi umma Jumapili akitaja sababu kadhaa za kufikia uamuzi huo...
1 Reactions
0 Replies
700 Views
WanaJF, Tunavyoelekea uchaguzi mkuu hebu tujadiliane kwa nini Tanzania hatuna maendeleo. Hayati baba wa Taifa alisema kuwa ili nchi iendelee inahitani vitu vifuatavyo; Ardhi Watu Siasa safi...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kitu wapinzani kinawapa homa na kutetemeka miili yao utafikiri sumaku kama wakifikiria kukutana na Rais Samia katika sanduku la kura. Wanamuogopa Sana Rais Samia...
2 Reactions
77 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima. 1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni...
5 Reactions
8 Replies
391 Views
Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo. Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana. Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Aweso Tangu msifiane pale Dawasa sasa hivi maji yanatoka kama hozi la kenge yaani maji hakuna kabisa zaidi ya wiki sasa mnafungulia maji dk 15 kisha mnakata , hivi hii nchi tuna LAANA gani ...
1 Reactions
7 Replies
381 Views
Ni angalizo tu kwa Wapiga Kura kwamba unapochagua Rais unachagua na makamu wa Rais Kuna Watu wanadhani Kura ni za Rais peke yake , la hasha Ahsanteni sana 🇹🇿🙏
0 Reactions
6 Replies
287 Views
Tanzania Imeendelea Kuongoza Juhudi za Kudumisha Amani, Usalama na Ushirikiano wa kisiasa SADC- Balozi Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Moja kwa moja nijikite kwenye mada: Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi. Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu...
13 Reactions
53 Replies
3K Views
Viapo vya viongozi vina maeneo 4 muhimu 1. Kuilinda Katiba 2. Kuitumikia Katiba 3. Kumtii Rais wa JMT 4. Kuitii Serikali ya JMT Na kila Kiongozi anakuwa na kipaumbele kimoja au viwili...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Sijaona sababu za msingi za kuuwa mtu kwasababu za kimadaraka, kwani sioni raha ya kuwa na madaraka kwa kupitia umwagaji damu tena sisi kwa sisi kila uchwao. Niseme hakuna raha yoyote ya madaraka...
1 Reactions
5 Replies
383 Views
Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kuchagua mgombea wa kiti cha Urais wa JMT Mchakato wa kumpata mgombea u - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya CCM unafuata utaratibu...
5 Reactions
13 Replies
973 Views
Ndugu Msajili na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Awali ya yote nawasalimia, na nawatakia majukumu mema ya kazi zenu. Nimechukua fursa hii kuwaandikia barua, kama raia, mzalendo, na mdau...
25 Reactions
47 Replies
3K Views
Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba...
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…