Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya...
Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali.
Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga
1...
RAIS SAMIA AWABEBA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUFUTA LESENI KUBWA 2,600, MAPATO YAO YAONGEZEKA MARA5!
Wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo walichangia 20% sawa na TZS 124bn kwenye...
CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu.
Pili...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau...
Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya...
Askofu Amani ameyasema hayo leo Julai 25, 2025 wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 100 ya Seminari ya Mtakatifu Yakobo Mtume iliyopo Kilema chini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Askofu...
(1)Wale wasiyoyumba wala kubadilishwa kama Tundi Lissu hata umuonge nini habadiliki
(2)Wale wa maslai kama Mbowe wao watavumilia kila aina ya mateso lakini ukiwapa pesa wanasahau yote
(3)Wale...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa...
Unakamata akina Soka na akina Mdude, unawatesa na wengine unawaua... hawana bunduki wala nini, bando la kukusimangia wanagongea... halafu unakuja kugundua kumbe kimeo ni Polepole, ambaye unamlipa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa...
Msiruhusu mtu abadilishe katiba ya chama kwa maslahi yake binafsi atakuja huyu atafanya hivi mwishoe itazoeleka na kila mtu,
Hakikisheni mtu akivunja katiba anapaswa kuomba radhi au kujihuzuru...
a. Aliingia kupitia mtandao
b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi
c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama.
d. Alitumia...
https://youtu.be/wTlcAdvtS90?si=M-MdUGulyP_bLNkx
Kufungwa kwa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima na onyo la mwisho kwa Samia Suluhu Hassan👇🏻👇🏻
https://youtu.be/k61Zm2GBR9c?si=8U10dcRJs5FdX31j
PART...
Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa...