Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://youtu.be/wTlcAdvtS90?si=M-MdUGulyP_bLNkx Kufungwa kwa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima na onyo la mwisho kwa Samia Suluhu Hassan👇🏻👇🏻 https://youtu.be/k61Zm2GBR9c?si=8U10dcRJs5FdX31j PART...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA 2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE 2025 - ???? (Imekuwa Reverse kwa mkuu wa chama cha upinzani kwa muda mrefu)
0 Reactions
5 Replies
374 Views
Ngoja nizitafute kisha niwawekee mjionee wenyewe mbinu mbalimbali za Ushindi pahala penye ushindani uliopitiliza Usiondoke 🐼
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Salaam! Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama. Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Sema Huyu MpoleMpole Kuna Kipindi Alikua Anaongea Nondo Sana. Japo Hazina Uthibitisho Wa Kimantiki, Hivyo Zinabaki Kua Ni Habari Fikirika Tu
3 Reactions
3 Replies
337 Views
GT Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama. Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na...
5 Reactions
4 Replies
518 Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Matukio yanayoendelea yanazidi kutudhihirishia nchi yetu imejawa na matapeli na watu waongo. Watanzania wamekuwa wakililia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa miaka mingi, na madai hayo...
2 Reactions
3 Replies
422 Views
Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi...
4 Reactions
6 Replies
589 Views
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo...
45 Reactions
134 Replies
9K Views
Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
1 Reactions
14 Replies
882 Views
Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na...
1 Reactions
12 Replies
783 Views
NI WAKATI WA KUFANYA SIASA ZENYE TIJA, HATUWEZI KUFANYA SIASA ZENYE AJENDA YA KIUPEPO UPEPO. KAMA NI MABADILIKO YATATOKA NDANI YA CCM YENYEWE. Kuna watu furaha yao ni kuwa Wapinzani. Umaarufu wao...
1 Reactions
11 Replies
544 Views
Hata mkutano mkuu urudiwe 7 mara 70 bado mgombea Urais wa JMT kupitia CCM atakuwa Dr Samia Huo ndio ukweli Nakumbuka kwenye mazishi ya Shujaa Magufuli kule Chato Kikwete alisema Yeye ndio...
5 Reactions
24 Replies
992 Views
Bashungwa nakupongeza . Kwa sasa utartibu uliopo Nida umekaa kisomi Sana . Ikiwa MTU jina lake lilikosewa n.k anafata utaratibu ambao ndani ya wiki mbili mpaka tatu majina yanakuwa yamebadilika...
1 Reactions
2 Replies
363 Views
Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
7 Reactions
79 Replies
3K Views
Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM). "Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na...
1 Reactions
10 Replies
645 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…