Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa.
Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu...
Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema.
Hii inamfanya anatutambia...
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko...
Wakuu,
Hivi ni lini media zitafahamu kwamba hizi propaganda za kitoto za kuchukua wananchi feki ili ku-adress spana a gavoo hazifanyi kazi tena
Jana Mange aliweka video kuonesha kuwa wananchi...
Moja ya kitu ambacho kinahitajika kwenye kufanikiwa kwa kila taasisi ni kumuweka mtu anapostahiki, kumpa mtu sifa anayostahiki lakini kumpa majukumu mtu anayostahiki zaidi eneo alilobora zaidi...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema...
Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani...
Wale wanachama wote ndani ya CCM wanaounyatia Urais wa Samia 2025 watafute kazi ya kufanya kwani kwa kauli hii ya Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Shaka Hamdu Shaka naona "Case Close "...
Tanzania ya sasa siyo taifa, ni cartel inayojificha ndani ya mfumo wa kikatiba. Tumegeuka kuwa nchi ya maigizo, ambapo wahalifu wakubwa siyo tena wale wanaopora kwa bunduki bali wale wanaosaini...
Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu.
Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu...
MDAU
Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini ,
Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini...
Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda.
Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka...
Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata...
Kweli kuna vichekesho kwenye siasa za Tanzania: chama kinachojitangaza kitalinda kura wakati hata chaguzi zao za ndani hawana. ACT na CHAUMMA wanapiga kelele za “kulinda kura” wakati hata vijiji...
Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha...
Jana nilikuwa namsikiliza Wakili Edwin Sifuna ambaye ni Seneta wa Nairobi pale citizen tv akielezea namna Waandamanaji wanavyoweza kumtoa Ruto madarakani, nikaogopa sana
Nilitegemea angekamatwa...
Ukipita mitandaoni utakutana na ujumbe (hashtag) #MaragaForPresident #Maraga2027 #RutoMustGo.
Hivyo ndivyo vijana wa Kenya wamekuwa wakiandika kuonyesha kuwa wanamkubali Jaji Mkuu mstaafu wa...
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili...