Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Mbowe ni mtu wa kipekee sana. Jamaa ni mstaarabu mno na ni mtu mwenye akili yingi sana. Nimeona ile video aliyokuwa anadhalilishwa na yule polisi akimwambia hamshindi mgombea wa ccm. Kwenye video...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Konde boy ana wimbo maarufu ndani yake ukimtajataja gwaji boy ambao ukipigwa hata mwenyekiti wetu hunesanesa kwa mbwembwe. Wimbo huu umepigwa mara kadhaa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hakika ITV mmedhihirisha kuwa ni chombo huru cha habari angalau kwa vigezo vya nchi zinazoendelea ambapo mara nyingi uhuru wa habari hutiwa kitanzi. katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hili swali limekaa kwenye vichwa vya watu, kila mtu akijiuliza,je awamu ya pili utabadilika? Awamu hii ya pili utaweka sera nzuri za kufanya sekta binafsi inyanyuke? Mzunguko wa pesa uonekane...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tulipokuwa darasa la Kwanza.. Mara nyingi tukitoka shuleni muda wa saa tano kurudi nyumbani Ngumi njiani zilikuwa kama JADI. Sasa ukiona mwenzako wakati wa kupigana anakimbilia kubeba MAWE au...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hapa ni Iringa Mwembetogwa.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Palipo na mbunge wa upinzani amekuwa akiwaambia wapiga kura sehemu husika walikosea kuchagua, kauli hii imekuwa ikinikera mpaka imebidi leo niseme. Kwa hakika ni yeye ndiye tuliokosea kuchagua...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bajeti za Madawa kutoka Billion 34 mpaka sasa Billion 270 80% vijiji vyote vimepata Umeme Tatizo la Umeme linakwenda kuwa historia kupitia mradi kubwa wa Stigles pale Rufiji ambao utatoa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jana Katibu Mkuu wa CCM alikaririwa akiwahakikishia mabalozi kwamba uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanywa October 28 utakuwa huru na wa haki. Miezi michache iliyopita Rais Magufuli alitoa kauli...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
KWA NINI WATANZANIA NI WAOGA? JE WEWE NI MWOGA? Na, Robert Heriel Kauli ya Mzee Butiku alipokuwa akihojiwa na ITV, Kusema woga wa Watanzania ni wakujitakia, sio kwamba wanazuiwa kusema ukweli...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA. TAREHE 18.10.2020 1. HANANG 2. MBULU 3. KARATU TAREHE 19.10.2020 1. SIMANJIRO 2. MONDULI 3. LONGIDO 4. ARUMERU 5. HAI 6...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwalimu alisema “Watanzania wamechoka na rushwa”. Tunayo kila sababu ya kuangalia jinsi Rais Magufuli alivyopambana na kero hii ambayo ni adui mkubwa wa haki za Watanzania, hasa wanyonge. Je, Rais...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Japo wengi wameshamzungumzia nami noma haya machache Jana nilimsikilza kwa makin sana Jk pale Mbagala Zakheim Ameeleza yeye kuwa muasisi mkuu wa baaďhi ya taasisi ikiwemo REA(Rural energy...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tutege masikio maana mtikisiko wa leo utafika hadi mitaa ya Lumumba, mitaa ya Kinondoni, mitaa ya Shabaan Robert.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimesikia kauli ya bw. Membe kwa jinsi alivyo na msimamo thabiti usiyoyumba...biashara ya kuyumbishwa yumbishwa Kama aliyofanyiwa Dr Slaa kipindi kile hataka kuisikia..kwa sababu kipindi kile...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wewe ni Mufti wa Tanzania lakini pia hapo hapo Wewe ni Kiongozi Mkuu wa Kiimani nchini Tanzania bila kujali hata Sisi akina Gentamycine ambaye ni Mkristo tena wa 'Dhehebu' la Katoliki kabisa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Amesikika akisema kwamba yeye ana jina la Kiislam, anaitwa Rashidi. Jinsi alivyolipata hilo jina: Alitelekezwa Msikitini Waislam wakamchukua na kuanza kumtunza. Hatuambii kwamba kuna wakati...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo nizungumzie jambo moja ambalo binafsi naona ni tatizo kwa sasa. Chadema ni chama kikubwa sana na kina wafuasi wengi, ila nathubutu kusema wafuasi/mashabiki wa chadema na upinzani humu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Dr JPM kwenye kampeni zake Korogwe aliahidi kushughulikia maslahi na mishahara mara tu baada ya uchaguzi naomba watumishi wote tumuamini kwa vile ninavyomfahamu Rais wetu akiahidi hutekeleza...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom