Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nabii Denis Asema :Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania https://youtu.be/-V_qMCCuYFE?si=gVQU5_fSwHiIgutx
6 Reactions
12 Replies
777 Views
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa. Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Siamini kama fedha inaweza kununua ubunge, 2015 kulikua na mtu anajiita ‘wa soda kubwa’ alikua anatoa sana fedha lakini nilipata kura nyingi na yeye hakufika hata nusu yake,” Mbunge wa Ilemela...
0 Reactions
4 Replies
574 Views
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri akizungumza na Wajumbe na baadhi ya WanaCCM kuhusu mchakato wa Ubunge katika Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma. Amesema walipokea takribani majina ya...
0 Reactions
3 Replies
751 Views
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hizi 1. Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema...
0 Reactions
16 Replies
761 Views
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya. Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama...
26 Reactions
118 Replies
4K Views
Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha mpaka mnataka mniue na mimi !!!😱 Wanachadema punguzeni jaziba , sis sote ni watanzania sema utofauti ni upande wa kiganja tunapo pokelea...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau . Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria. Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara...
1 Reactions
10 Replies
725 Views
DAR. Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji Leonard Magere, wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi na wametakiwa...
2 Reactions
2 Replies
741 Views
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Matangini, Mlimba – Morogoro, Suzan Kiwanga alisisitiza kuwa haoni sababu ya chama tawala kuachwa kipite bila kupingwa, akisisitiza...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi. Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime...
21 Reactions
208 Replies
25K Views
Mtume (SAW) alisema: "Majaji wako wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule aliyejua haki na akaihukumu kwa haki, huyo yuko Peponi. Yule aliyefanya hukumu bila elimu...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi, Suleiman Bungala maarufu kwa jina la "Bwege", ametoa wito kwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuketi na vyama vingine vya siasa ili...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha...
1 Reactions
13 Replies
972 Views
Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee...
2 Reactions
6 Replies
369 Views
Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa...
11 Reactions
93 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…