Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya...
1 Reactions
11 Replies
286 Views
https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa. Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza...
3 Reactions
16 Replies
309 Views
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amewasilsiha Uchambuzi wa wa chama hicho Kufuatia Ripoti ya Tume ya...
3 Reactions
10 Replies
580 Views
Asante sana Mzee kwa kukataa kujumuika na wanafiki wachumia Tumbo, umejitenga na uongo , ushirikina na Najisi ya Nchi Mungu atakulipa Mzee wangu, wala hatokuacha Maandiko Matakatifu yameelekeza...
23 Reactions
33 Replies
996 Views
Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%. Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo. Warioba: Ndio.
12 Reactions
36 Replies
1K Views
"Mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba...
2 Reactions
7 Replies
197 Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ameeleza kuwa rekodi za mahakama tangu Kisutu zinaonesha wazi kuwa...
1 Reactions
1 Replies
255 Views
"Tazama, mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba...
1 Reactions
2 Replies
142 Views
Godbless Lema amendelea kukiwasha na kutoa maoni yake yalitokea Oktoba 29, 2025. Godbless Lema amesema Oktoba tunatiki, No Reforms No Election inachocheaje maandamano? Maandamano yamechochewa na...
3 Reactions
2 Replies
239 Views
Je, una picha au video ya mtu akiuawa au aliyefariki wakati wa uchaguzi Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba? Weka picha/video hiyo hapa na jibu maswali yatakayofuata. Wasaidie Human Rights...
11 Reactions
16 Replies
383 Views
Naona CCM kwa CCM wanajipongeza :) Ila wanachekesha sana! Ila ipo siku yenu tu ============= Leo, Alhamisi tarehe 07.05.2026, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (HKT) imefanya kikao chake cha...
1 Reactions
13 Replies
496 Views
Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu. Ila, hebu...
31 Reactions
41 Replies
867 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali uamuzi wa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan wa kuzuia ujumbe rasmi wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea...
5 Reactions
7 Replies
360 Views
Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam. Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo...
8 Reactions
19 Replies
293 Views
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema leo Shekhe Said Mwaipopo amewataka wale wanaoshutumu viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa kazi zao hasa katika kipindi...
1 Reactions
9 Replies
242 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani...
6 Reactions
8 Replies
474 Views
  • Featured
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari - makao Makuu Dodoma amesema kuna watu wanatumia video za matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Rais alishatuchamba tume ni yake, na ripoti ni yake, na sisi wala hatuna hiyana tumemwachia ripoti yake, maana haituhusu wananchi, ameshakabidhiwa, sasa Chande anakuja kujieleza kwetu ili...
39 Reactions
60 Replies
1K Views
Back
Top Bottom