Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sabato Njema Wakuu! Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa...
34 Reactions
153 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dk Msafiri Joseph Mbilu,amewataka waumimi na Watanzania kwa ujumla kujiepusha kuchukua rushwa kwa wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali...
1 Reactions
4 Replies
367 Views
Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga...
1 Reactions
3 Replies
334 Views
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Hamis Tale Tale ameonyesha dhamira yake kwa kukabidhi kiasi cha Tsh Milioni 65 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ofisi ya chama ya wilaya pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
305 Views
Wakuu Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi? == Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham...
2 Reactions
3 Replies
348 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka...
1 Reactions
20 Replies
999 Views
TAARIFA KWA UMΜΑ Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka...
6 Reactions
14 Replies
915 Views
"Nyie waandishi, hivi mmewahi kumfuata mwenyekiti wa chama mkamuuliza nia yake ya kugombea Urais aliyoandika barua ameshaituma kwa katibu mkuu? Mlishawahi kuuliza hilo swali? kwahiyo na sisi ni...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli. CHADEMA wana utaratibu wa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira...
3 Reactions
5 Replies
658 Views
Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu, John Mrema ameendelea kutoa cheche kuhusiana na msimamo wa CHADEMA wa kuzuia Uchaguzi, akisema kuwa agenda ilianza mwaka 2020 January na haikuanza mwaka 2024 kama ambavyo baadhi ya watu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa...
1 Reactions
24 Replies
825 Views
Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55. Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima. Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi...
4 Reactions
14 Replies
792 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu. Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma...
18 Reactions
43 Replies
2K Views
Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu. Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom