Humu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts.
Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces...
Mwanaharakati huru Bwana Ahmed Kombo amechafukwa na kujitokeza hadharani kumvaa Balozi Humfrey Polepole ambaye ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kwa kukosoa baadhi ya mambo ndani ya Serikali yake...
Husika na mada tajwa hapo juu:
Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa...
Ikiwa wazungu wana nia ya kuikomboa Africa waanze na hili swala .
MTU anafunguaje account nchi za ulaya na anaweka mabilioni ya fedha huko.
Mshahara wa waziri na Mbunge na wa viongozi wa juu...
Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi...
Ndio maana wanasiasa wengi huwa wanaitwa wachumia tumbo. Watajifanya wanagombea nafasi za uongozi kwa sababu wanaipenda nchi na wananchi lakini inakua ni uongo mtupu, wanataka kujinufaisha tu wao...
Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata...
Vyombo vya juu kabisa vya kichama ndivyo vilivyofanya maamuzi sahihi,ndani ya mikutano yake,na kura zikapigwa kizuri zaidi kura zote kwa asilimia 99.8 zikaafiki,na kumsimika,ya kwamba hawa ndiyo...
Niaje waungwana
Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo...
Watanzani na unafiki ni kitu kimoja.
Makabila madogo yanafuata mkumbo.
WAHAYA,WACHAGGA,WANYAKYUSA,ngoshaWASUKUMA.
Wanaongoza nchi.
Ukabila hautakiwi TANZANIA.
Salama Wakuu, sasa nimeamini adui namba moja wa demokrasia na siasa za vyama vya upinzania ni Freeman Mbowe. Wanachama wa CDM wameteswa na wengine kuuwawa na kupotezwa kumbe FAM anajua na...
Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake
Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya...
Kama jamii tunapaswa na tunaaswa kumuuliza kwa kina Balozi Humphrey PolePole ni mambo gani muhimu ameyatekeleza akiwa anahudumu kama balozi Malawi na ukanda wa karibiani.
Zaidi aeleze ni makubwa...
Bado mifumo ya Tanzania Ina KAZI kubwa mnoooo! Wale inao zania ni watu MAKINI wapewe fursa Ina itaji kuwacontro sana mbele za kamera ili jamii iwaelewe la sivyo system itaendelea kuingia Chaka...
Ana contents nzuri sana huyu jamaa.Tatizo lake ni uongeaji wake wa siku hizi wa kimizaha mizaha.
Kiukweli nikufurahishwa na mizaha mizaha yake alipokuwa akiongea mambo nyeti ya kitaifa.
Mlio...
Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea...