Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa mara, Chacha Heche mapema leo amefika kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere akiwa na ujumbe wake wenye vielelezo vya matukio yaliyojitokeza katika chaguzi za TanzAnia...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu, Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule! ==== Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
TAARIFA KWA UMMA Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. TAARIFA YA KUKAMATWA...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili ni wazalendo wa kweli . Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani...
30 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu, Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa...
14 Reactions
64 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi. Ambapo katibu Wetu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza akiwa katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam ambapo amesema mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
“Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!. Wamepigwa operesheni moja tu ya...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Akiwa Bungeni leo Aprili 10, 2025, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, amehoji hatua ya Serikali kumkamata mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka itoe maelezo ya kina...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika...
3 Reactions
2 Replies
609 Views
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Bwana Isihaka Mchinjita ameshangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni kuwa hali ya demokrasia nchini imeimarika. Akizungumza na...
0 Reactions
1 Replies
395 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kile ilichokiita kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu, kikieleza kuwa hatua hiyo ni matumizi makubwa ya nguvu na inalenga...
4 Reactions
8 Replies
718 Views
Lissu amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa Mbinga leo akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi, wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi Baba zetu wa kiroho! Tumsifu Yesu Kristo! Wote mmeona yaliyotokea leo Mbinga. Askari wenye silaha na mabomu wameenda kumkamata Tundu Antipass Lissu, mtu asiye na silaha...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Hongereni sana CCM kwa kufanya ziara ya kwenda mkoa wa Lindi kupangua hoja zote za kitoto zilizotolewa na Tundu Lissu katika wilaya ya Ruangwa, Nachingwea, Mtama, Kilwa. Kule Nachingwea Bw.Lissu...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Na Askofu Bagonza RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU: Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM. Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Baada ya jana kukamatwa kwa Mwenyekiti wa NETO, leo zimeibuka taarifa kwamba Katibu wa Jumuiua hiyo amekamtwa na Jeshi La Polisi. Kupitia mtandao wa X, NETO waliandika kwamba: Katibu...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom