Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, CCM imeendelea kuonyesha Umwamba wake katika siasa za Nchi hii na Bara zima la Afrika.imeendelea kuonyesha namna inavyokubalika ,kupendwa ,kuungwa mkono na namna ilivyo na...
7 Reactions
130 Replies
4K Views
Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Bwashee, mtaa wako una Mwenyekiti mwenye Kiti na CPA? :D Basi kutana na Celina Mkonye wa kule Mbweni. Mara baada ya kula kiapo cha utii na uadilifu, Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Mtaa wa Malindi...
1 Reactions
0 Replies
541 Views
Wakuu, Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe. Ni kwamba Jeshi la...
0 Reactions
6 Replies
608 Views
Wakuu Nina Demu Mmoja Mwalimu ni mchepuko wangu wa miaka na miaka. Demu huyu mwaka 2020, alikua msimamizi wa uchaguzi sehem Fulani Kituo Fulan. Kwan so mnajua Mashine ikikolea? Mwanamke hutoa...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa...
0 Reactions
7 Replies
714 Views
Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Jumla ya wenyeviti na wajumbe 1953 leo Novemba 28.2024 wameongozwa kula kiapo cha uaminifu na uadilifu na Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Illuminata Lutakana mara baada ya viongozi hao kushinda...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Watu wasiojulikana wamevunja ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Nyandewa na wengine kuiba masanduku ya kura na kutokomea nayo kisha kuyatelekeza porini huku watu watano wakikamatwa baada ya kukutwa...
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Wakuu, Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina Akizungumza na...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa...
1 Reactions
0 Replies
367 Views
Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
2 Reactions
17 Replies
773 Views
Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Wakuu, Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Wakuu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani...
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni...
0 Reactions
9 Replies
942 Views
Back
Top Bottom