Gwajima anasema wiki iliyopita alitoa mfano wa mtoto wa Samia kutolewa macho leo kaongeza wengine kwenye mfano huo.
Kasema vipi kama akichukuliwa mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au...
Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu...
Afisa TEHAMA Makao Makuu, Grory Tausi, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe.
Fomu hiyo imekabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa jimbo hilo...
Ndugu zangu Watanzania,
Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu...
❇️ ASANTENI SINGIDA KWA MAPOKEZI MAKUBWA, HII NI IMANI KUBWA YA USHINDI WA KISHINDO KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025
Asanteni sana kwa shukurani zenu mlizopeleka kwa...
Wakuu,
Nimekutana na video hii ya Sheikh mmoja akisema kwamba taifa lolote haliwezi kutengemaaa kama Rais ni Mwanamke.
Sheikh anasema kwamba mwanamke anaweza kuwa hadi Waziri lakini kama taifa...
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga...
Wakuu,
Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani
Muda mfupi baadae na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Shauri...
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.
imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii...
Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa...
Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.
Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.
Kwa kweli Reforms,haswa katika masuala ya uchaguzi, haziepukiki...
Hii ndio Taarifa ya Sasa
AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya...
Wakuu,
Kupitia mitandao ya kijamii, chama cha ACT Wazalendo wamedokeza kuwa leo wana jambo lao zito ambalo wanataka kuwawasilishia wananchi.
Ni jambo gani? Fuatilia uzi huu, ujue nini...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji...
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na...
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi Afande Sele amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo...
Naomba ieleweke na iwekwe kwenye kumbukumbu kwamba Samia ni Rais wa vitendo na sio maneno.Soma hapa Video: Rais Samia Kuifutia Tanzania & Afrika Aibu ya Njaa.Anatekeleza Maono Ya Baba wa Taifa ya...
Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.