Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hilo ni gari la serikali linalotumiaka na kituo cha Afya Ilembo..Mbeya Vijijini limekutawa likipakia abiria. Hii ni hatari kwa maana Mkuu wa afya anashirikiana na dereva wake katika biashara...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tulianza na nyerere 1961 - 1985 [miaka 24 madarakani] akafuata mwinyi 1985 - 1995 [miaka 10 madarakani] akafuata mkapa 1995 - 2005 [miaka 10 madarakani] akafuata kikwete 2005 - 2015 [miaka 10...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina. Dar es Salaam. Rais wa Serikali yaMpito ya Madagascar, Andry Rajoelina amewasili nchini kwa ziara ya kikazi na jana alitarajiwa kuwa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Dr. Slaa akihutubia mkutano ktk Viwanja vya Mwembeyanga umati mkubwa wa watu alitaja orodha ya majina 11 ya mafisadi Tanzania Mwaka 2007, Jumamosi ya Sept 15. Mkutano huo Licha ya kuhudhuriwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa Taasisi ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imempongeza Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, (pichani) kwa kufanikisha kupatikana Sh. milioni 520...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Sasa vita mpya CHADEMA, CCM • Tendwa aonywa, aambiwa ole wako na Waandishi wetu Tanzania Daima VYAMA vikubwa viwili hasimu hapa nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia...
23 Reactions
123 Replies
11K Views
Natambua kwamba wengi wetu tunamfahamu bwana huyu. Ni Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi TUCTA. Hivi Karibuni amjejizolea umaarufu baada ya kuonyesha ujasiri wa hali ya juu...
0 Reactions
77 Replies
10K Views
I think it is Crucially important to have the Union between Tanganyika and Zanzibar maintained, for so many reasons this page may not be enough to exhaustively elucidate- that's indisputable...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Siku moja nilikuwa nafundisha kuhusu Muungano wetu katika shule moja ya sekondari. Niliwafafanulia jinsi Nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara zilivyoungana na kuunda nchi moja "Tanzania" yenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF, Nadhani umefika wakati wa TRA kuweka mfumo wa Mfanyakazi kufuatilia kiasi cha kodi anazochangi kupitia PAYE, inashangaza sana makampuni mengi hapa nchini yanakwepa kulipa kodi ya PAYE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeziandikia barua benki zote zilizopo Tanzania ikizijulisha kuhusiana pamoja na mambo memngine, ukusanyaji wa kodi mpya kwa mujibu wa Sheria iliyopitishwa hivi...
10 Reactions
138 Replies
15K Views
Chama cha CHADEMA kimesema kuwa kinajitayarisha kuwaisilisha mahakamani kesi madai ya sh milioni 31dhidi ya Waliokua madiwani watano wa chama na ambao walifukuzwa uanachama na kusababisha kupoteza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kweli hawa jamaa na M23 wameshaanza kuchezea kichapo na kukiona cha moto huko DRC au ni propaganda tu? Full article iko hapa: Tanzanian Jakaya Kikwete's Negotiation Proposal: Yoweri Museveni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii Nimeipata toka kwa ISP wangu Dear Valued Customer, As per the recent Budget proposal, Telecommunication services including internet services will attract 14.5% Excise duty with effect from...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali cha kwenda kutibiwa nje yanchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jf,, Ni dhahiri kuwa chama cha mapinduzi kipo kwenye hatua za mwisho za kuanguka, dalili zipo wazi kabisa.Migogoro na makundi ndani ya chama, kushindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, (pichani) amewataka Watanzaniana watu wenye mapenzi mema kuendelea kuwasaidia watu wasio na uwezo na wenye mahitaji ili...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Mchungaji Simboni, aliyekuwa Meneja wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mh. Mbowe na Katibu wa Chadema Wilaya ya Hai akirudisha kadi yake ya Chadema jana kwa Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa...
2 Reactions
486 Replies
35K Views
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…