Kwa ile nyomi ya jana pale Tanganyika Packers, naiona dhahiri CCM ikitawala kwa zaidi ya karne moja tena.
Kwanini?
CCM ina wanachama wengi, zaidi ya milioni 13 na ndio chama chenye wafuasi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa.
Pia kimemtaka Kiongozi...
Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha...
Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona
Kwenye Biblia takatifu kitabu cha...
Leo Mwanza, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano na foleni zisizo na mwisho kutokana na kufungwa kwa barabara kuu wakati wa kampeni za kisiasa.
Kwa heshima tunawaomba wagombea...
Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka...
Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya...
Ikulu mawasiliano wanaendelea ku-update kinachoendelea kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM,
Swali la kujiuliza Ikulu ni mali ya serikali au ni mali ya CCM?
Je watapost kampeni za vyama vyote...
Wakuu!
Katika mfumo wa kidemokrasia, ni muhimu vyombo vya habari vya umma kutoa usawa kwa vyama vyote ili wananchi wapate fursa ya kuamua kwa taarifa sahihi.
Hivi karibuni kumekuwapo changamoto...
Alianza kwa kushindana na Edward Lowassa then na Tundu Lissu. Pamoja na mifumo kumbeba ila pia alikuwa na timu nzuri ya wajenga hoja na kazi zake na historia yake nzuri vilimbeba.
Hawa...
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo
Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni...
Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi...
Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa...
Hii ndiyo Taarifa mpya inayozunguka mitaani kwa sasa.
Inadaiwa hayo ni maelekezo Rasmi kutoka kwa walioshika mpini na wanaonufaika na Keki ya Taifa.
Ngoja tuone Mwisho wao Utakuwaje.
Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021.
Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa...
Niende kutiki au nisiende haina madhara yoyote kwenye matokeo
Sina sababu hata moja ya kuinua mguu kwenda kupiga kura.
Njia ni nyeupe kabisa, kuna uhakika tayari wa matokeo yatayobandikwa kuwa...
Kilichotarajiwa kuwa tukio kubwa la ufunguzi wa kampeni za CCM.. Kiligeuka karaha kwa wakazi wa Dar hasa wa maeneo yote kuelekea njia za Kawe, Bagamoyo, Bahari beach nknk.
Tukio lililopaswa kuwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu...