Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena. Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na...
90 Reactions
219 Replies
14K Views
CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu. Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata...
4 Reactions
8 Replies
572 Views
Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
1 Reactions
2 Replies
288 Views
Habari Wana JF Katika tafiti nilizozifanya nimegundua 99% ya watanzania oktoba watatiki na 1% iliyobaki niwatoto ambao bado hawajafikisha umri wakupiga kure Takwimu hizi zinadhihirisha yakua...
-1 Reactions
18 Replies
823 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia...
1 Reactions
7 Replies
852 Views
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 vikisomwa pamoja na kanuni ya 29(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge...
1 Reactions
4 Replies
571 Views
Mitano tena kwa Jesca Magufuli =============== Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameendelea kufanya mikutano...
2 Reactions
7 Replies
739 Views
Kumekuepo na tabia flani ya wanasiasa kutumia jina la Mwalimu Nyerere kwenye maslahi yao binafsi. Hii tabia ya kukemea kila mtu anajua falsafa za Nyerere tushaziweka pembeni tuache mzee Nyerere...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi Afande Sele amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo...
6 Reactions
8 Replies
936 Views
Kwa haraka haraka, kete zilishachezwa kitambo Sana, ndani ya vile vyumba nyeti vya giza tupu na kumwangukia mama!. Kwa urahisi now mama ni mkubwa kuliko cha ma ( mama ndiyo chama!). Kwa wenye...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Mbeya kwa maana ya ramani ya Zamani yaani hadi Mbozi Ndio sababu Watumishi wa Mungu wa mbinguni wengi wanatoka Mbeya mfano Mwalimu Mwakasege, Mtume Mwamposa, Mzee wa Upako Mchungaji Lusekelo...
1 Reactions
6 Replies
502 Views
Nadhani Hoja ya msingi kwa komredi Polepole ni hiyp Nia njema ya huo waya mkubwa ni ipi na Nia ovu inayotekelezwa na hao Wahuni ni ipi Atoe darasa Nawatakia Sabato njema 🙏
4 Reactions
28 Replies
1K Views
ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara. Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi. Mtapigwa kila pembe hadi mchakae...
4 Reactions
9 Replies
641 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa...
13 Reactions
159 Replies
13K Views
Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa...
3 Reactions
5 Replies
778 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…