Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia
Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Habiba Bunduki, amezindua kampeni zake akiahidi kuboresha maisha ya wananchi kwa kujenga barabara za juu (flyover) katika...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AAFP, Said Soud Said, amemshukia mgombea wa ACT Wazalendo, Othman Masoud, akidai hana uwezo wa kufikia hata kwa mbali hadhi ya kisiasa ya marehemu...
Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT...
Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni.
Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
Hizi ruzuku zimekaaje yaani mfuko wa Ura 71000 kwa ruzuku bila ruzuku 74000, can 62000 kwa ruzuku bila ruzuku 65000.
Bashe hapo umepigaje? sasa bora zirudi bei za 50000 kama zile za nyuma...
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga...
Kwa kinachoendelea sasa ni zaidi ya ubakaji kwa Taifa la binaadamu dhaifu .
Wenye njia njema wamejaribu kuwashauri wenye mamlaka waone namna ya kuitafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo lakini...
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Dar es Salaam, Tanzania – Rais Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake ameelezea wasiwasi wake kuhusu migongano iliyokuwepo kati ya Serikali na wafanyabiashara kabla ya kukabidhiwa uongozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Askofu Gwajima jana usiku alikuja na anachokiita hotuba yake, baada ya kupita siku kumi alizopiga mkwara mbuzi wa kusema eti makanisa yake yafunguliwe haraka sana. Na...
Naam wakuu
=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live...
Wakuu,
Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani
Muda mfupi baadae na...
Kuna kajamaa hapa kamegeuka kanabii kabuzwagi. Stori zake za kuungaunga zisizo na mbele wala nyuma. Kameacha ushauri wa ndoa na mapenzi kameingia anga za juu. Robert Heriel Mtibeli na genge lako...
Wasalaam.
CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha
Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa...
Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope.
Sasa kuna...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Shauri...
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.
imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya...