Hadi sasa nimewaona wakongwe muhimu ndani ya chama wakimuunga mkono Rais Samia na Dr Nchimbi.
-Philip Mangula
-Adam Kimbisa
-Bashiru Ally
-Joseph Butiku
Kwa hali hii: "Watesi wetu leo, siyo watu wale wale?"
Kaeleza Polepole kuwa almanusura ya Mdude, Soka au wote waliotoweka yalikuwa yamkute yeye wakati akiwa karibu na Jiwe kiasi kile. Kwamba...
Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They want to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili...
Kifo cha ghafla cha Benard Membe kiliacha maswali mengi lakini kutokana na maelezo ya Humphrey Polepole kuna kitu cha kujifunza.
Kwa mujibu wa Polepole ni kwamba Benard Membe ndiyo alikuwa kinara...
Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa.
Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa.
Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa...
Kwa mara ya kwanza nashuhudia kampeni ambazo hazina miradi bunifu ya kimkakati, Je nini sababu?, au labda tuseme miradi mingi ya mwendazake bado haijakamilika (viporo havijakamilika), kimsingi...
Waafrika ni jamii tuliyokwisha ithibitishia Dunia na hata kujithibitishia wenyewe kuwa kuna tija ndogo sana kutoka Viongozi wao.
Chaguzi zimekuwa vichaka tu, ndio maana leo utashangaa nchi...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna...
Katika Muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kitaendelea kuwachukua wapinzani...
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo
Je Demokrasia...
Wakuu,
Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta...
Wasalm alaykum tena wana Jf.
Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization.
Ndio, bwana Xi...
Kwa maelezo ya polepole Rostam aziz 40% ya faida ya Watanzania inaingia kwake, na hiyo faida ni kubwa sana kiasi kwamba Rostam hawezi kula peke yake hizo pesa lazima zinaenda kwenye taifa la...
NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.
Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.
Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri...
Inashangaza sana. Hii inaitwa hasira za mkizi.
Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini
Wamemtenga kabisa Cornel Magembe
CCM chato watu wanachuki sana.
Nipo...
Hii ni kanuni ya kidunia na kama unabisha Fanya Utafiti mdogo tu
Utakumbuka JK alisema‘Serikali yangu haina mbia’
Shujaa naye akatamba ‘ hii ni Serikali ya Magufuli’
Ruto amesema ‘ Mimi ndio...
Katika historia ya kisiasa ya Tanzania, mjadala kuhusu urithi wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati John Pombe Magufuli umekuwa mkali na wenye mitazamo kinzani. Wapo wanaoona kipindi hicho...
Haya mabo si vibaya kuyaelewa kidogo:
C&P from Google
EPC+F, or Engineering, Procurement, Construction, and Finance, is a project contracting arrangement where the contractor is responsible for...
Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya...
Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti...