Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana. Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.: 1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya...
2 Reactions
119 Replies
6K Views
Hii ni SPECIAL THREAD itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM Samiah Suluhu. Huu ni mkutano wake uliofanyika Mtwara. Wananchi...
1 Reactions
433 Replies
56K Views
Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba...
6 Reactions
12 Replies
956 Views
Wale mnaosema CCM inapendelewa karibuni sana TBC muda huu
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar katika kuhakikisha Amani na Usalama wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limejipanga vyema kuhakikisha ulinzi na usalama unahimarishwa wakati wote...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao jana Agosti 29, amesema "Watu wanamdanganya Rais wetu kwamba anasifiwa nje ya tanzania...
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amechukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi...
2 Reactions
3 Replies
390 Views
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa Akizungumza na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na...
2 Reactions
6 Replies
523 Views
NA J_Okay Hatimaye kampeni zimeanza, huku Rais Samia Suluhu Hassan akitafuta miaka mitano mingine ya kukamilisha kazi yake. Ionekanavyo, Rais Samia atapita kwa urahisi, ingawa idadi ya wapiga...
3 Reactions
3 Replies
591 Views
Wakuu! Mnakumbuka Agosti 28, 2025, Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika Viwanja vya Tanganyika Packers, jijini Dar es Salaam...
3 Reactions
7 Replies
564 Views
Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu! Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea...
31 Reactions
79 Replies
6K Views
Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale...
14 Reactions
96 Replies
4K Views
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania. Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole? Kwani ni siri...
30 Reactions
179 Replies
9K Views
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Inaaminika na waamini kuwa kila binadamu aliyezaliwa huwa na kazi maalum ya kumaliza hapa duniani, na wakishaikamilisha hiyo kazi basi hunyakuliwa mara moja na kuiacha dunia. Hivyo inaminika...
46 Reactions
176 Replies
7K Views
Kikwete ni mtu smart, very genius na ana pesa. Rostam Aziz ni mtu mwenye akili nyingi na pesa. Hawana muda kuumizwa na kelele. Maskini mara zote huamini kuwa tajiri kamwibia pesa zake. Roho ya...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…