Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya...
0 Reactions
2 Replies
379 Views
Serikali inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye...
1 Reactions
1 Replies
501 Views
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko amesema serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Bilion nne (4) katika Halmashauri ya Wilaya na ameunga...
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi...
3 Reactions
9 Replies
823 Views
Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale...
2 Reactions
3 Replies
497 Views
Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amedai kuwepo kwa harufu ya upigaji fedha katika Ujenzi wa Jengo la Utawala Arusha. Akiwasilisha hoja yake leo, Jumatano Aprili 16, 2025, wakati...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki. Mufti Abubakar amesema...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Tumewahi kuandika humu mara kadhaa kwamba Shetani hana rafiki, lakini bado hatukueleweka Sasa baada ya kuwatumia kwa miaka mitano wamepigwa chini rasmi. Taarifa kamili hii hapa
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Maana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini. Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho...
7 Reactions
65 Replies
3K Views
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka Zanzibar, wamekiburuza mahakamani chama hicho pamoja na mambo mengine wakilalamikia upendeleo katika mgawanyo wa...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa. Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa...
9 Reactions
112 Replies
5K Views
Serikali ya awamu ya sita imepongezwa kwa kupeleka mradi wa maji wa Miji 28 katika Wilaya 3 za Mkoa wa Tabora ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji huduma ya maji. Pongezi hizo...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM. Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha...
25 Reactions
52 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili...
8 Reactions
77 Replies
3K Views
"Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hakukuwa na kura, takribani wagombea wote wa upinzani walienguliwa. Mwaka 2020 tuliona kwa mara ya kwanza kura...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom