Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa...
Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote.
Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu.
Kuna...
Kanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf ni kutokalia habari njema.
Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha
Huu hapa ni...
Hali si shwari kwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Dkt Charles Kimei (CCM) baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kuanza kuhoji mambo mbalimbali zikiwemo ahadi zake wakati akiomba...
Wakuu!
Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?
===
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA...
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka...
==
Mimi ni kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858,
Rasmi natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu kwa nguvu ya Mungu,
Uzoefu...
Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini
Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu...
WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa...
WASIRA:CCM TUNAHUBIRI AMANI KWA SABABU NDANI YAKE KUNA HAKI.
Asisitiza Chama hakiwezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo
Na Mwandishi Wetu, Tabora
MAKAMU Menyekiti wa Chama...
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi
NB: Victor Tesha ni makamu Rais wa Federation of Miners Association of Tanzania maarufu kama FEMATA na pia ni Managing Director wa Isale...
Wanaccm wengi huamini kwamba chama chao ni chama imara na huilinganisha na miongoni mwa vyama imara sana hapa Africa na duniani.
Ila jambo moja ambalo linawaondolea hizo sifa zote na kuwafanya...
Aliyekuwa Mweka hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, Bi. Lidya Mashaka amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuikabidhi kadi ya Chadema kwa...
Wakuu,
Kumekucha huku, kama ulikuwa hujajiandikisha kajiandikishe sasa... lolote litakalotokea Oktoba uwe na kitambulisho tayari!
Hivi utaratibu hufanyika hivi miaka wote? Yaani huwa zinatolewa...
Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka...
Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani...
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.