Msije sema ni gharama kubwa maana Haki, ukweli na uwazi una gharama zake pia.
Je ni haki kwa wezi wa kura/vibaka wa kuiba kura nao pia watendewe kama vibaka wengine wa mitaani?
Twende Kazi.
I...
Katika historia ya nchi yetu hakujawai kutokea kiongozi dhaifu kama mama Samia na mbaya zaidi anatumia mbinu dhaifu ili watanzania wasigundue udhaifu wake na aendelee kuongoza hii nchi akiwa...
Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara
Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
Waziri wa Mambo ya Nje ni bosi wa Mabolizi wote Duniani. Bolozi ni vituo vya kazi ambavyo Waziri anavisimamia.
Uteuzi wa DGIS umeenda sambamba na kuondoa mabosi wake wa zamani ofisini yaani...
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni...
Kwa Hakika kabisa nafahamu kwamba hakuna Uchaguzi, lakini kuna mambo ambayo kwa namna yanavyochekesha ni lazima uwashirikishe wengine.
Angalia hii kura ya maoni ya Tanga Mjini, halafu jiulize...
CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia.
Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana...
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:
1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni...
Salaam nyote,
Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda.
1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k
Wengi...
Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT...
π Shukrani za Dhati π
Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Ndg. Dkt @samia_suluhu_hassan , Mwenyikiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Imani yako kubwa...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema...
Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa...
Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu.
Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka...
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena.
Niende kwenye Mada kwa ufupi,
Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM...
Maana,
kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi,
Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi...
MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE
NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ?
NIDA ijitegemee
INEC ijitegemee
Banki ijitegemee
NECTA ijitegemee
RITA ijitegemee
TRA ijitegemee
TUCTA ijitegemee
Utumishi...