Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini.
Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.
Ni yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea u - Rais, haraka katibu wa CCM mkoa...
Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
Viongozi wote wa CCM wanajua kabisa endapo watakubali uchaguzi wa Uhuru,uwazi na Haki basi watafurumushwa kutoka madarakani,
kwa hiyo wanatumia propaganda kuwaaminisha baadhi ya raia wajinga...
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla akizumguza katika Ziara ya kamati ya Utekelezaji ya UVCCM katika kata...
TEC na Shura ya Maimamu waongeze sauti, huu upuuzi ukome. Hivi madehebu mengine hawaoni aibu wenzao wakiwa mstari wa mbele kupigania haki wao wakibaki kuwa chawa?🤔🤔
====
Mbunge wa Jimbo la...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa.
Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaasa Wakristo kuliombea Taifa amani, utulivu, umoja na mshikamano uendelee katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Taarifa...
MJUMBE wa Baraza Kuu la Wazazi - CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mtwara, Ndg. Idrisa Yusuph Nannila, amehutubia katika kampeni kabambe ya kuhamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto...
#TANZANIA: TULIPOFIKIA CHADEMA LEO, HATUFANYI TENA UCHAGUZI NA CCM, TUNAFANYA UCHAGUZI NA DOLA, HAKUNA TUME HURU HAPA - MAYALA
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Aden Mayala hii leo Aprili 18...
Wakristo kote nchini wametakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuendele a kuyaishi matendo mema kama walivyofanya wakati wa kipindi cha mfungo wa Kwaresma kwa kudumiasha upendo na kujaliana na...
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhakikisha wanasimamia na kuhimiza amani nchini ambacho taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Akizungumza...
CHADEMA wanachokitaka kupitia NO REFORM NO ELECTION siyo wao kupewa upendeleo, bali kuwa na uchaguzi huru na wa haki ili yeyote anayeshinda, awe ameshinda kwa haki.
Na ili hilo liwezekane...
Wakati Sheihk akishauri kua wanaozunguka wakidai tume huru ya uchaguzi washughulikiwe.
Unakutana na chama ambacho uchaguzi uliopita kiongozi wa ngome ya vijana wake alichezea kichapo cha mbwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi...
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu.
Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama...
Wakuu
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa...
Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.