Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NASERIKALI ZA MITAA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA,2024...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi kinatoa shukurani za dhati kwa wanachama wake, wakereketwa,wafuasi na watanzania wote kwa ujumla wake kwa kukipigia kura nyingi za ndio na hivyo...
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu
Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama...
Wakuu,
Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦♂️🤦♂️
====
Ni kweli kama maaskofu wa tanzania...
Wakuu,
Haya tuendelee na unafiki!
=====
Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na...
Wenyeviti na wajumbe wote wa serikali za mitaa wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na badala yake wahamasishe na kuelimisha umma kushiriki katika shughuli za maendeleo.
Akitoa rai...
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo...
Wakuu,
Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee?
====
Katika mkutano wake...
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO.
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari...
VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki.
Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi...
Madai ya Katiba Mpya yalikuwa yamepoozwa 4Rs ambazo baadaye ilionekana si suala la dhati.
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025.
Kwa...
Wana Jamvi salama.
Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa...
TAARIFA KWA UMMA
UCHAGUZI UBATILISHWE NA KUITISHWA UPYA
TAARIFA YA AWALI YA KAMATI YA UONGOZI TAIFA YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI 2024...
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake...
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote...
Nilikaa luningani kusubiri kama Moshi mweupe utaelekea Juu Mbinguni, na kweli ikawa hivyo na kumaanisha Mungu wa mbinguni amekubali Uteule wake Kwa 100%
Mara ya pili ndio jana katika Halmashauri...
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa.
CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea...
Wakuu,
Leo, katika tarafa ya King'ori, wilaya ya Arumeru, viongozi wapya wa serikali za mitaa wameapishwa rasmi. Sherehe hiyo iliongozwa na hakimu wa mahakama ya eneo hilo, ambapo wateule...
Leo Novemba 27,2024 huko Mikumi karani wa Uchaguzi amekamatwa live akiwa na karatasi feki za kura ambazo zote zinaonesha kuwa CCM imeshinda Uchaguzi.
Kiongozi wa CHADEMA alionekana kukamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.