Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja...
Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio.
Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana...
Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa...
Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza...
Kabla ya maandamano tulisikia tetesi za wanajeshi wa Uganda kuingizwa nchini kwa lengo la kusaidia kutuliza maandano wakisaidiwa na kontena la silaha ambazo zimeingia nchini kwa msaada wa Abdul...
Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu.
Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The...
Misa Takatifu ya kuwaombea waliouwawa na waliojeruhiwa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 | Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki Bagamoyo ikiongozwa na Askofu...
Hakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa...
Ameandika Rais wa TLS Boniface Mwabukusi.....
Sijui Jeshi la Polisi wanatuelewa tunapowashauri? Je ni Mungu anazidi kuufanya moyo wa jeshi hili kuwa Mgumu?
kuna safari ya Maangamizi ya Taifa...
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na...
Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania , wanakosoa namna serikali imeanza kuitumia vibaya sheria ya makosa ya uhaini, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, waandamanaji...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kauli hiyo imetolewa na...
Wakili Peter Kibatala amesema kwa kushirikiana na mawakili wengine watatoa huduma ya kisheria kwa Mfanyabiashara Jenifer Jovin 'Niffer' Ruthimelda Born Gregory na wengine 20 walio katika mashtaka...
Watu 10 wakazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sumbawanga kwa kosa la uhaini na kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, makosa ambayo wanatuhumiwa kuyafanya...
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika...
Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetuma salamu za pole kwa familia na jamii kwa ujumla ambazo zimepoteza wapendwa wao kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Kupitia taarifa...
Anaandika Twaha Mwaipaya...
"Anaitwa deo kamanda alikuwa Hamasa wa chama, anaishi Mbezi kibanda Cha mkaaa. mtandaoni anatumia jina la "Dmg mfia chama" ameuwawa na majangiri ya ccm, ameacha mke...
Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia...
Wakuu...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando (Baba Levo) kupitia instagram yake amepost video akiwa nje ya Bunge akionyesha sehemu yake mpya ya kazi.
Unadhani atakuwa mbunge wa aina gani?
Wakuu,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.