Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia...
Tarehe 29.10.2025 umma ulimkataa mgombea wa ccm kwa maandamano makali yaliyopelekea watu kupoteza uhai hadi sasa watu wanalia kila kona ya nchi, maandamano hayo yalifanyika umma ukihitaji reform...
Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika.
Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi.
Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote...
Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu...
Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
Pamoja na matumizi ya mabavu katika kuhakikisha CCM inasalia madarakani, Nchi hii haijawahi kushuhudia uchaguzi uliosuswa na kuleta unyonge katika mioyo ya watanzania kama uchaguzi huu wa mwaka...
Hili si jambo dogo kwa historia ya taifa letu. Katika tawala zilizopita, haijawahi kushuhudiwa idadi kubwa ya vifo kama inavyodaiwa kutokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan...
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, akizungumza jana wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, amesema kuwa njia pekee ya kuwalinda vijana wa kizazi cha Gen Z ni kuwapatia elimu, ujuzi...
Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma.
Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda...
Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti.
Na hili...
Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake?
Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio.
Matendo...
Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan?
Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje?
Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Khamis Mgeja, ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, amefariki dunia jana Jumatatu Novemba 3, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa...
1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea
2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali...
Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura.
Kwa...
Miye nasema sijui! Mayai yetu wao wameyatumbua kwa risasi.
Washazoea kuchezea mayai yetu. Siye fukara hatuwezi kujichanga kununua hata bunduki ya laki saba siye.
Siye hata tukipewa bunduki...