Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
1 Reactions
113 Replies
2K Views
Ameandika Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche; Huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe… Uchunguzi wa Kimataifa kutoka chombo huru ndio unaweza kuaminika na Watanzania...
8 Reactions
11 Replies
383 Views
https://youtu.be/QwY9OsUGVY0?si=P-Q3GDkwdHg6GDe3 👉🏻Idhaa ya Kiswahili ya BBC imefanya uchunguzi wake wa awali na kuthibitisha pasipo shaka kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania polisi viliua...
4 Reactions
17 Replies
606 Views
Sheikh Jongo: Wale wasiotutakia wema katika nchi yetu bado wanaendelea na bidii zao kufanya nchi isikalike lakini pia Tunaambiwa wajinga tunapopigania amani iendelee ”
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan...
3 Reactions
239 Replies
5K Views
Hii Ni aibu Huyu akifikisha kweli hata kula million 1? Hii Ni fedhea kwa Taifa
11 Reactions
29 Replies
738 Views
Aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa tamko lenye hisia kali akilaani vikali mauaji aliyoyaita “Mauaji ya Oktoba” yaliyotokea nchini Tanzania kutokana na Uchaguzi Mkuu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimemsikiliza huyu Sheikh Jongo amesema wale walifanya ghasia wale wote wameshaushiwa kufanya hivyo na kuvunja miundombinu ya mwendokasi, wamepiga moto vituo vya mafuta visivyopungua 31...
1 Reactions
4 Replies
207 Views
Kwenye hotuba yake amesema kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sis tunavyoheshimu mataifa mengine, na katika kulinda maslai ya nchi hakuna mbadala ni lazima tuhakikishe tunalinda heshima, utu na...
2 Reactions
22 Replies
598 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya...
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko...
2 Reactions
133 Replies
3K Views
Salut sana kwenu waungwana wa jukwaa hili la JF. Tulishakubaliana kwamba waliofanya vurugu ni vijana kutoka nchi jirani vile vile zile video ni zakutengenezwa. Kuunda tume kuchunguza yaliyotokea...
1 Reactions
8 Replies
270 Views
Nimemsikiliza kwa umakini Rais Samia kuhusu msamaha alioutangaza wa baadhi ya Vijana waliokamatwa wakati wa maandamano kipindi cha Uchaguzi Mwaka huu (2025), ni wazi kuwa inawezekana ni jambo zuri...
6 Reactions
9 Replies
312 Views
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande amesema baadhi ya raia waliouawa katika maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata hawakuwa na silaha yoyote badala...
9 Reactions
18 Replies
563 Views
Katika hafla fupi ya kuapishwa kwa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa wziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika leo November 14, 2025 jijini Dodoma, Mwanamashairi na msanii maarufu kwa...
2 Reactions
30 Replies
854 Views
Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira! Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza...
4 Reactions
39 Replies
941 Views
Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
0 Reactions
11 Replies
558 Views
Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
2 Reactions
1 Replies
198 Views
Kuna mzee maarufu Buguruni maarufu kwa kuuza pilau toka miaka mingi ya nyuma aliuawa kikatili kwa kupigwa risasi na kupoteza maisha siku ya maandamano. Wazee wa kiislamu maeneo ya hapo Buguruni...
9 Reactions
11 Replies
575 Views
Back
Top Bottom