Nimesikia kauli za kejeli kwa vijana kutoka kwa rais Samia akijitaja kama mama mlezi wa taifa.
Sijui kama nimemuelewa au kama yeye mwenyewe anafahamu uzito wa anachosema ukilinganisha na hali ya...
Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni...
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa...
Hamna Jambo la Sirini litabakia kua Sirini !!.
Mbinu Yao walitumia, imewekwa Wazi Sasa !!.
Watekaji na Wauaji walipenyeza Mamuluki wao wachome Vituo vya Mafuta na Ma Bus ili kuhalalisha Matumizi...
Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao?
Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei?
Rais Samia kasema kama wao wazazi...
Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pusa ametoa wito kwa mamlaka kulaani mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi na kuwasihi kukubali kuwa waliouawa ni ndugu zetu...
Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu...
Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua...
Huyu ni Askofu Bagonza, Msomi wa PhD , anawauliza hao Wafuga Ndevu zinazopakwa Brichi, Wanaohusudu Ngono na kupitisha visheria Uchwara vya kuoa watoto wa miaka 10 , Watu wenye Elimu za Darasa la...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lililoketi kwa siku 4 kutafakari kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 limeonesha kusikitishwa na kulaani mauaji ya kinyama ya watanzania, na...
GTs,
1️⃣ Matukio ya tarehe 29–30 Oktoba yameacha jeraha kubwa nchini. Watanzania wanataka ukweli, uwazi, na uwajibikaji. Hakuna taasisi, cheo, au mtu yeyote aliye juu ya uchunguzi.
2️⃣ Kauli ya...
Jana nimeangalia kipindi cha MAlumbano ya Hoja ITV, mwanzo hadi mwisho. Si kawaida yangu sana kutazama ila jana nimekimaliza. Niwapongeze wote waliohudhuria na kutoa maoni yao katika mjadala ule...
1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29...
Hili ni gumu kuliko yote. Kuna watu wameanza kumharibia Mama wakati ana uwezo wa kujiharibia. Wanazuia miili ya waliokufa isitolewe, wanazuia takwimu za waliopotea zisijulikane. Wanatisha...
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na...
Wakuu,
Kuhusu maandamano ya MO29 huyu wa kuitwa Baba Lebo kampongeza Samia
"Kuna watu walileta machafuko lkwenye nchi yetu, walileta vurugu kwenye nchi yetu na akachungulia, kuna baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.