Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Amesema Kijakazi anapoolewa pale alipokuwa akifanyakazi anakuwa MNYONGE (anakosa uhuru asije akaachika akarudi kuwa kijakazi). Anawafananisha CUF na kijakazi na Bosi wao ni CHADEMA kwa sababu...
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Wanajamvi Nimerejea Tena Katika Harati Za Kitafiti Zenye Lengo La Ukomboz Kwa Wanamwanga Wote Bila Kujali Itikad Za Kisiasa Wandugu Leo Nilikuwa Usang Nilitembelea Vijiji Vya Ngulu Ndorwe Na...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndugu wana JF lema ameitisha mkutano wa hadhara leo katika viwanja vya Ngarenaro hapa Arusha. Miongoni mwa mambo yaliyonisisimua ni kuona magari 3 ya matangazo yakipita mtaani kutangaza mkutano...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Watanzania tumekuwa na tabia ya kuwadhihaki watu wanaohama Chama cha Mapinduzi kwenda Upinzani kwa ushabiki wa vyama tu bila kuangalia Issues. Tukumbuke ni hivi majunzi Serikali kupitia Baraza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ktk muendelezo wa vigogo kuhama chama cha mapinduzi baada ya lembeli..bulaya...makongoro Leo nasubiri zamu ya nani niendeleze kukata ile keki aliyotuachia baba was taifa Karibuni sana ukawa...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Kuna watu kutokana na nafasi zao katika jamii katu asilani hawawezi kusema wao ni ukawa ila ndani ya nafsi zao wanajua ,miongoni mwao n watumishi wa umma ,ukitaka kuamini jiulize Halima Mdee...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Kumkabidhi Lowasa uenyekiti wa CHADEMA. Kwa kauli yake kasema wanachadema wasiwe na hofu na wageni kwa sababu yakuja kuchukua nafasi zao na mgeni chamani ana haki sawa na mwenyeji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa zamani mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete yupo mkoani Tanga leo 03/08/2015 katika viwanja vya Tangamano kuwaaga wanaccm wa mkoa huo,pamoja na wanatanga.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna kipindi kila mtanzania anakuwa mchambuzi wa mambo ya michezo utasikia pale angecheza fulani namba kumi tungefunga,sasa kila mtanzania amekuwa mchambuzi wa mambo ya siasa mpaka inaboa,kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali ya kisiasa Ulanga Magharibi inazidi kuwa na jotoridi la juu.Watu kadhaa wanatajwa kuwania ubunge kwa tiketi za CCM na UKAWA pia.Mbunge aliyepo madarakani Mponda inaonekana kuchokwa kwa kiasi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna habari nyeti kuwa kuna mamluki wengi wa Lowasa walioshinda kwenye kura ya maoni ambao ikifika kipindi cha kurudisha fomu hawatarudisha na Ccm kupoteza wagombea. Hii ni mbinu inayotumika...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mbunge wa jimbo la Kasulu mjini alohamia ACT kutoka NCCR-MAGEUZI amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukabiliwa na zomeazomea na maswali kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Sunuka jimbo la...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Mzee Ngombale Mwiru ameowaomba watu waliokwazika na kauli yake aliyoitoa Dar es salaam wakati akimnadi Lowassa, kuwa mdomo uliteleza ''lapsus'' Sio vizuri kuweka msimamo kabla mchakato...
1 Reactions
165 Replies
28K Views
Source account yake ya twitter
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Inasikitisha sana kuona chama kilichokuwa na sifa hapa nchini kupinga vita ufisadi na rushwa, ndio kinakuwa chama kikuu cha kupokea mafisadi ya kila namna. Inasikitisha sana hasa ikizingatiwa kuwa...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wanaJamii Forums.. Hili La Askofu Mwingira lapaswa kuungwa mkono kwani Askofu kasema hiyo BVR ndiyo tiketi ya kuingilia ibadani Leo. Chanzo, Gazeti :Nyakati
5 Reactions
82 Replies
10K Views
Komredi Stephen Wasira nakutafuta. Hata Lumumba sikuoni siku hizi. Nakutafuta nikuombe utoe utabiri mwingine. Ule naona umekwenda kinyume. Umewaimarisha badala ya kuwasambaratisha. Najua nawe una...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku zote tumewasikia wanasiasa wetu wakijigamba ya kuwa chama ndiyo kinachobeba umaarufu wa mtu na wala siyo mtu. Jambo hili limekuwa si kweli hapa kwetu nchini. Tunashuhudia athari kubwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu, Tangu uteuzi wa watia nia wa urais kupitia CCM umalizike na yeye kukatwa, hajaonekana tena wala kusikika. Hata TBC wakimuonesha kwenye mashamba ya zabibu hakuna. Je, yuko wapi?
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Napata shaka sana nani alikuwa nyuma ya ufisadi wa serikali hii JK asiyeogopa, asiyeshiba na aliyetuona watanzania mazuzu wasiyoweza kufanya chochote hata aibe nini! 1:Tulianza na RICHMOND...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom